Mgao utaendeelea mpaka 2013 sioni pa kutokea-january makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao utaendeelea mpaka 2013 sioni pa kutokea-january makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jul 20, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Soma hiyo mh makamba .j akiwa anahojiana na mwandishi mmoja bw derrick na kuweka wazi tatizo lilitufikisha hapa
  na ukweli halisi nini cha kufanya kwa maoni yake unahisi tutaweza tatua mgao wa umeme
  kwenu wadau
   

  Attached Files:

  • jan6.JPG
   jan6.JPG
   File size:
   141.3 KB
   Views:
   39
  • jan5.JPG
   jan5.JPG
   File size:
   778.8 KB
   Views:
   39
  • jan4.JPG
   jan4.JPG
   File size:
   790.2 KB
   Views:
   32
  • jan2.JPG
   jan2.JPG
   File size:
   667.7 KB
   Views:
   25
  • gen.JPG
   gen.JPG
   File size:
   555.5 KB
   Views:
   36
 2. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Inabidi muwe wapole tuuu..me nshakubali hali hapa mwanza tunadunda tu kama kawa.....
   
 3. t

  threadcritic Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba hii barua ipanuliwe ili tuweze kuisoma vizuri
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hayo anayajua January peke yake mimi nasubiri wiki tatu ziishe (yaani siku 21) na mpaka sasa tatu zimeshakwisha??!!

  Wasitake kutuchezea hawa watu :(
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  January amekuwa Ikulu kwa miaka 5 na naweza kusema kipindi hicho ndio hasa serikali iliwekeza kwenye GIZA. Anapata wapi ujasiri wa kuongelea umeme leo hii? alimshauri nini Rais wakati akiwa Ikulu?
   
 6. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anaandika hotuba za kumpotosha boss wake
   
Loading...