ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
Habar zenu wakuu, kuanzia siku ya jana ijumaa tanesco mkoa wa mwanza wameanza kukata umeme kuanzia saa kumi na moja alfajiri mpaka saa tatu usiku na hali hiyo inategemea kudumu kwa mwez mzima huu wa desemba. Mbaya zaidi mgao huu ni wa kimya kimya na maeneo yanayoathirika zaidi ni maeneo yote ya nyegezi mkolani na buhongwa. Meneja wa sasa wa tanesco mkoa wa mwanza ameshashindwa kazi na sielewi kwa nini hajafukuzwa kazi mpaka leo