Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,275
- 5,640
'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'.
Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito.
Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu.
Nishati ya umeme ni nishati muhimu sana, pengine mtakumbuka jinsi uhaba wa nishati hii ulivyomng'oa Mh Lowasa kwenye uwaziri mkuu mwaka 2007.
Wito wangu kwa serikali ni kuanza kujipanga sasa maana kufikia mwezi wa nane mwaka huu, hali inaweza kuanza kuwa mbayaa!
Naishauri serikali kukata bajeti ya wizara ya nishati iliyokuwa imeelekezwa kujenga bwawa la umeme kwa 70% katika mwaka ujao wa fedha na kuelekeza fedha hizi kwenye kufua umeme wa dharura.
Napendekeza fedha hizo zielekezwe kwenye kununua ama kukodi meli za kuzalisha umeme wa gesi kiasi cha takriban Megawatt 300-400.