Mganga wa Kienyeji atuhumiwa kumpiga Risasi Mhudumu wa Baa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mganga wa Kienyeji atuhumiwa kumpiga Risasi Mhudumu wa Baa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanaone, Apr 8, 2011.

 1. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  MGANGA wa Kienyeji anayefahamika kwa jina la Bakari Nyalobi ‘Profesa Safari’ [30] anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala, kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi kaunta wa Bar ya Luck ya Tabata Mawenzi aliyetambulika kwa jina la Sebast
  Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoani Ilala, Bw. Faustine Shilogile alisema kuwa, tukio hilo lilitokea usiku wa jana majira ya saa 7 huko Tabata Kimanga Darajani.

  Alisema mganga huyo alifika katika baa hiyo na kuanza majibishano ya hapa na pale na kaunta huyo na baadae mganga huyo alichomoa bastola yake na kummiminia risasi marehemu maeneo yake ya kifuani.

  Hivyo kufuatia hali hiyo kaunta huyo alianguka chini na wasamaria walitoa taarifa hiyo polisi na kukimbizwa Muhimbili kwa matibabu na alikufa muda mfupi baadae mara baada ya kufikishwa hospitalini hapo katiia wodi ya Kibasila.

  Hata hivyo uchunguzi juu ya tukio hili bado unaendelea na mtuhumiwa anendela kushikiliwa kusubiriwa hatua za upelelelezi kukamilika ili mtuhumiwa huyo aweze kufikshwa mahakamani.

  Hata hivyo baadhi ya wakazi waishio maeneno hayo walidai kuwa mganga huyo mwenye jina kubwa hapa mjini na hasa hususani maeneo hayo alikuwa akitumia vibaya matumizi ya bastola yake kwa kuwatisha watu pindi tu alipokuwa akimiliki bastola hiyo kihalali

  “tunaomba sheria ifuate mkondo wake” walilalama wakazi wa maeneo hayo

  Wakazi wa maeneo hayo na kwingineko wanaiomba serikali itende haki katika tukio hili ili iwe mfano kwa wengine wanaotumia silaha hizo kinyume na sheria
   
 2. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cjui kama utakuwa mzima wakati ukiandika hii thread.......kwako hii ni habari ya siasa?....au umevamia jukwaa?????!!!!!!!!!!!!!, hata ukijumuishwa kwenye hiyo kesi ctashangaa!!!!!!!!...wasalimie wasiojua kama wewe.
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Inaelekea unasoma sana magazeti ya udaku, kwa hiyo umeandika hiyo headline ili kuvutia wasomaji sio, wrong strategy bro, kwa nini usingemtaja kwa jina lake halisi huyo mganga wako wa 'chenyeji'?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  ccm na cuf mna matatizo kweli nyie
   
 5. m

  magneto Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dah umenishtua nimeclick taarifa kwa pupa zote...kuangalia! habari inaanza,'mganga wa kienyeji...'
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ndo matatizo ya junior member haya anajipachia habari popote bila kuangalia jukwaa, eti profesa safari, so what! Shame upon you msoma magezeti ya udaku wewe.
   
 7. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivi wewe huwa unakurupuka 2, mbona mnaleta habari mbili sehemu moja. mnatujazia kiwingu.
  tafuta topic ya mwenzako PROFESA SAFARI AKAMATWA.
   
 8. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  haya mke wa DK SILAHA
   
 9. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  Haya mke wa mbowe kazi yako kusoma mtanzania daima.
   
 10. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  HAYA MKE WA DK slaa msomaji wa Tanzania Daima
   
 11. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  Haya mke wa mbowe kazi yako kusoma mtanzania daima
   
 12. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  Haya mke wa mbowe kazi yako kusoma mtanzania daima
   
Loading...