Mganga wa kienyeji anatafutwa hapa

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,224
3,491
Wakuu kichwa cha habari hapo juu kinajieleza...

Nimeamua kuchukua uamzi huu wa kumtafta mganga wa kienyeji baada ya kufanya kila njia ili nijikwamue katika hii ya umasikin imeshindikana

Na kama tunavyojua wizi ni dhambi pia kwa maadili niolelewa sikuwahi kujihusisha na vitendo vya urubuni na sitakaa nifanye hivyo...

Ila naskia ukienda kwa mganga unakuwa unarisk maisha yako ila nimeamua bora nirisk maisha yangu mimi peke yangu.... (nipambane na hali yangu) ila nisiwaingize wanajamii matatizoni kama vile kuwaibia mali zao na kuwarubuni

Hivyo basi kama nilivyotanguliza awali kuwa sihitaji kuchafua hali ya mwenzangu wala kumkosesha binadamu mwenzangu raha au kumuudhi kutokana na starehe zangu binafsi.

Sasa kinachonitisha nasikiaga kuwa huwa hawa ndugu zetu waganga wanatoa masharti kama vile....

-Kuua ndugu yako..
-Kugegeda dada yako....
-Au kumgegeda mama yk..
-Kuuwa wazazi wako.....
-Au kuuwa Mwanao.....
-Na hata kuuwa mkeo....
Na mengineyo...

Nami kama nilivyojiwekea nadhili staki kuchafua hali ya mtu katokana na starehe zangu kwa hiyo kwa masharti hayo mimi siyawezi kabisa....

Ila nipo tayar kama kuna masharti mengine ambayo yatanihusu mimi binafsi
Atakayoyajua yeye anipe nitashukuru pia..

ila chonde chonde masharti yasimhusu mtu yeyote wala kumuathili mtu mwingine tafadhari sana wacha nipambane na hali yang...

Pia awe tayari kunifanyia uganga wake kwa makubaliano ambayo baada ya mafanikio ndio nitamlipa kiasi cha pesa atakayoitaka yeye.....

Pia awe tayari kunifanyia uganga wake online yaani simu au kupitia mtandaoni.......
Hii inatokana na kwamba sina nauli ya kumfuata huko alipo ila akikubali kutumia nauli yake kunifuata nilipo ishallah mwenyezi mungu amzidishie mara mbili mbili zaidi...

Baada ya hapo kiroho safi nawatakieni usaidizi mwema katika kunisaidia mtaalamu huyo...

Nipo sereous sipend dharau na matusi kwa wachangiaji kama huwezi kuchangia kwa busara pambana na hali yako

Huwa sipendi kumkosea mtu wala kudharau maamuzi ya mtu na ninaheshimu mitazamo ya wenzangu pia.

"By youngtozy1992"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom