Mganga noma

Rastad

Member
Oct 3, 2011
13
3
Kuna jamaa jongoo wake alikuwa hapandi mtungi,basi jamaa akaenda kwa mganga na kumweleza tatizo lake.mganga akamwambia tatizo dogo hili,kisha akampa jamaa kanda ya wimbo wa taifa na kumwambia jamaa akaisikilize,jamaa akashangaa na kumuuliza mganga, hii ndiyo dawa?mganga akasema wewe acha ushamba,huu wimbo unapoimbwa Raisi mwenyewe anasimama sembuse hako kaishu kako.
 
Du sikutarajia kucheka kiasi hiki!!! huyo mganga lzm atakuwa hajaweka bango la matangazo yake hapa mjini, asante kwa kunisababishia kucheka mida hii!
 
Back
Top Bottom