Mganga Mkuu wa Mkoa si Daktari Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
532
646
Kumekuwa na tabia ya Waganga Wakuu wa Mkoa, yaani RMOs kuingilia majukumu ya Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Mikoa , yaani MOi/c (Medical Officer incharge). RMOs wamekuwa wakisahau kwamba majukumu yao ni kusimamia huduma za Afya za Mkoa, na si kuongoza hospitali ya mkoa. Hii imesababisha kuwe na migongano isiyo na afya kati ya RMOs na MOi/c.

Ni wakati muafaka kwa serikali za mikoa kuwahamisha waganga wakuu wa mkoa kutoka katika mazingira ya hospitali na kuwapeleka ofisi za RAS ambako pia ni wasaidizi wake.
 
Inawezekana hii shida ipo hapo ulipo, huku kwetu RMO wetu anajua majukumu yake kama yalivyo kwenye JD yake
 
Back
Top Bottom