mganga amewasili mabinti kazi kwenu

by default

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
839
215
MGANGA WA MAPENZI AMEWASILI.
Ni yule yule mkali kutoka matombo, DR utamu ..anatibu magonjwa yafuatayo.

1.kupata mimba kwa wanawake ambao wanatafuta watoto ndani na nje ya ndoa.

2.wanawake wote ambao hawaridhishwi na viwango vya mabwana na maboi friend zao.

3.natibu wanawake wenye stress za mapenzi,kama umetoswa tuwasiliane usijali nitatibu majeraha yote ya vibuti ulivyopigwa.

4.wanawake walioshindikana auwezi kudumu na mpenzi walau kwa wiki moja,bila kusahau wenye majini mahaba.

Wateja kumi wa kwanza watapewa tiba mahususi.
Tuwaasiliane kupitia
pm.
 
dawa ya kusema ASANTE Inapatikana?manake hasemangi asante kwenye tukio lolote lile ata utoe povu kimya af anajijua.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom