mganga amewasili mabinti kazi kwenu

MGANGA WA MAPENZI AMEWASILI.
Ni yule yule mkali kutoka matombo, DR utamu ..anatibu magonjwa yafuatayo.

1.kupata mimba kwa wanawake ambao wanatafuta watoto ndani na nje ya ndoa.

2.wanawake wote ambao hawaridhishwi na viwango vya mabwana na maboi friend zao.

3.natibu wanawake wenye stress za mapenzi,kama umetoswa tuwasiliane usijali nitatibu majeraha yote ya vibuti ulivyopigwa.

4.wanawake walioshindikana auwezi kudumu na mpenzi walau kwa wiki moja,bila kusahau wenye majini mahaba.

Wateja kumi wa kwanza watapewa tiba mahususi.
Tuwaasiliane kupitia
pm.

Ruttashobolwa namba nne hapo juu inamhusu nani kwa fikra zako?
 
Last edited by a moderator:
wallah huwezi kuamini....nitamtibu mmoja hadi mwingine......mimi mwenyeeeeewe........

Sasa wanaume wanamagonjwa tofauti tofauti utawatibuje kwa mpigo ..........?:confused2:

Na je utaanza na aliyezidiwa sanaa au mwenye nafuuu.........!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom