Mgambo wasafisha Makumbusho na Tegeta hakuna machinga aliyesalimika, Ras Mtimanyongo atokwa machozi

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
58,472
2,000
Hatimaye zoezi la kuwapanga vizuri wamachinga katika maeneo ya stendi ya Daladala Makumbusho na Tegeta kwa ndevu leo limekamilishwa na hakuna machinga aliyesalia.

Msanii Ras Mtimanyongo amesema leo ndio ameamini kuwa serikali ina mkono mrefu kwani walijaribu kutikisa kiniriti lakini wamechemka hivyo yeye na wenzake wanahamia rasmi Bunju sokoni.

Maendeleo hayana vyama
Ras mtimanyongo kaukubali mziki hahah

Ova
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom