Mgambo wa polisikulipwa hela ya kukamata mtuhumiwa ni halali?

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
649
Habari wadau!
Kuna hii tabia ya raia anapokwenda kutoa taarifa kituo cha polisi huambiwa atoe 10,000 ya mgambo kwenda kumkamata mtuhumiwa wako je hii ni halali na sababu ya kuwepo mgambo vituo vya polisi ni uchache wa polisi au uboreshaji?

kwanini iwe hivyo inamaana kwa ambao hawana hiyo hela hawatapata huduma?
Rais alishasema dai stakabadhi je mgambo wanapolipwa hii pesa wanatoa stakabadhi?

Naleta kwenu
 
Back
Top Bottom