Elections 2010 Mgambo kushiriki ulinzi siku ya Uchaguzi Dar!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Eti kwa kuhakikisha kuna usalama siku ya uchaguzi askari mgambo wa jiji wametakiwa kuripoti kwa wakurugenzi wa manispaa za jiji la Dar ili waweze kushiriki katika ulinzi siku ya uchaguzi.
Wasiwasi wangu hawa jamaa huenda ndio wakawa chanzo cha vurugu maana kuna tabia imejengeka miongoni mwao pale wanapopewa kazi wanafanya kwa sifa ili waonekane nao wapo!
 
Kuna rafiki yangu mmoja ameomba likizo ili aende kusimamamia kura yeye ni mgambo na wamechaguliwa kwenda kusimamaia kura maeneo ya ngaramtoni Arusha. Ananaiambia eti hawaruhusiwi kupiga kura hii si sawa kabisa. Ukiona hilo kundi la mgabo ni karribu 400 wanapigishwa kwata hapa na mapolisi na kuna wanajeshi kadhaa.
 
Back
Top Bottom