Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

Sasa hivi sio watoto tu wanaolalamika kuwa hakuna ajira bali mpaka wazazi wa watoto hao wanalalamika ajira hakuna jambo ambalo linafanya familia nzima inalaumu tu mwanzo mwisho na hakuna anaezinduka hapo.

Ni bora aliyejiajiri akawa anapitia magumu wakati huu kuliko yule ambaye hana ajira kabisa wakati huu can you imagine the situation?

Hii ni kwa sababu mzazi alimjenga mwanawe tokea zamani kuwa soma upate ajira,soma upate ajira mwanangu.

Hii ni sumu mbaya sana kwa watoto mwisho wa siku mtoto anaona kuwa bado hajaanza maisha mpaka apate ajira kwanza,wakati maisha yanaanza unapojitambua na kuwa na malengo yako.

Kwa ambao wana ajira wakomae na ajira zao.

Mwambie mwanao sasa hivi wasomi wengi sana na ajira zinakuwa chache mno hasa katika mambo ambayo wengi wanasomea, kumbuka ukisoma H.R kuna mamia huko nyuma wamesoma kwa hiyo usitegemee kuwa wewe ni mtu muhimu sana uajiriwe wewe peke ako,pengine ukakosa jipange kisaikolojia.

Kiukweli maisha yanakoenda inaonekana kuwa watu wanashida sana na ajira kuliko hiyo ajira ilivyokuwa na shida na watu.

Bwana einsten aliwahi kusema kuwa : where there is a difficult,there is an opportunitiy.

usitake mambo rahisi rahisi tu alafu mafanikio yaje simple kana kwamba unafanya peke yako jambo hilo.

Watu ni wengi,wasomi ni wengi ajira ni chache sana.serikali yenye akili haiwezi kuwaajiri watu ambao hawana shida nao,haiwezi kuajiri watu ambao hata wasipokuwepo kazi zitaenda bila shida.hata wewe upo hivyo.

Mwambie mwanao maisha yanaanza akijitambua na kuwa na malengo na maisha hayaanzi akiajiriwa,mwambie hata akiwa shule ana haki ya kujiajiri na kuwa mjasiriamali.

Mtoto harithi ajira ya baba,mtoto anarithi biashara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

HOPE WASIJE KUKULAANA MAANA WAMEJAZANA HUMU ACHATU APO NDIPO UTAJUA KWANN WAZAZI TUNALIA CORONA IISHE WATOTO WAENDE SHULE
 
Sasa kila mtu akiwa mjasiriamali itakuwaje?

Ujasiriamali wenyewe wa kuuza nyanya!

Hebu tuwe serious watanganyika!

Ujasiriamali ni kipaji ambacho sio wote wako nacho! Ujasiriamali ni taaluma!

Kila mtu atembeze tenga la nyanya patatosha kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely true. Entrepreneurship/Business is not for every one. That is why we have division of labor. We can not all be entrepreneurs. But for those who have entrepreneurial mindset they will definitely follow their instinct regardless of their education level. Not every college/university graduate can be an entrepreneur otherwise it is like forcing all secondary school students to become college or university graduates. THAT'S IMPOSSIBLE.
 
The thread is only for those who graduates with different levels of education but still they are jobless.

The best advice to them is to have a plan B,they must choose the solution in every situation.

It's not bad for them to get imployed according to their education status,and of course we are all depending each other.

But what is better for them,to stay home and waiting for government employment ?

Or to be self imployed person ?

(Kiengereza najifunza)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ukikutana na Motivational Speakers watakwambia add value kwny hayo makande,fanya packaging nzuri weka na strawberry pembeni utauza bei unayotaka.

Hapo kwny watu kununua kande sababu ya influence ya dingi ake umenikumbusha wkt Klyn anafungua sehemu yake ya kuuza yale ma-furniture yake ya mamilioni niliwaona wakina Juma Mwapachu na wadau kibao wakimuunga mkono Kylin kwa heshima ya rafiki yao Mengi lkn sidhani kama baada ya Mengi kusepa kama bado wanaunga mkono juhudi au la.
Hahahah watu wanalichukulia game la biashara simple sana. Bongo biashara sio easy namna hio.

Bado hatujafikia level za kuendesha biashara kwa principle za vitabuni na zikaenda kama wenzetu wa ulimwengu wa kwanza huko. Ukiona mtu anapiga business kirahisi ujue yupo kitambo sana kwenye game na kashajua njia nyingi za panya za kukwepa kodi hivyo mtaji ushakuwa mkubwa sana ama supporting document za ki "Wizard" kama "Ndele" zinahusika katika ku boost mauzo. Sasa kurupuka umuige uone kitakachokukuta, remba sana duka heheh 🤣🤣🤣!

Wengine ndio hivyo wanatembelea upepo wa u star. Anajulikana msanii wa bongo fleva au mtangazaji basi kwa aibu wenzake wanaenda kushop ili kumpa support. Huyu wa hivi hapitii incubation period sasa wewe kaige
 
Bado hatujafikia level za kuendesha biashara kwa principle za vitabuni na zikaenda kama wenzetu wa ulimwengu wa kwanza huko. Ukiona mtu anapiga business kirahisi ujue yupo kitambo sana kwenye game na kashajua njia nyingi za panya za kukwepa kodi hivyo mtaji ushakuwa mkubwa sana ama supporting document za ki "Wizard" kama "Ndele" zinahusika katika ku boost mauzo. Sasa kurupuka umuige uone kitakachokukuta, remba sana duka heheh !

Mkuu unalo sema ni sahihi kwa watu wanao jua biashara, Tz ili kufanikisha biashara hapa lazima awe na jambo unique kama mtaji mkubwa, tax holidays strategic free rent au govt subsides.....ila kwa ukweli rate ya biashara ndogo na kati kufirisika iko juu kuliko rate ya ukuwaji ya biashara mpya.......labda biashara ya full 'gospel church' ndo unaweza ukawa na mafanikio ya haraka ila kwa ujasiriamali mngine ni pasua kichwa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The thread is only for those who graduates with different levels of education but still they are jobless.

The best advice to them is to have a plan B,they must choose the solution in every situation.

It's not bad for them to get imployed according to their education status,and of course we are all depending each other.

But what is better for them,to stay home and waiting for government employment ?

Or to be self imployed person ?

(Kiengereza najifunza)

Sent using Jamii Forums mobile app
Andika Kiswahili we poyoyo,Kingereza hukijuwi.
 
Kingereza kibaya hichi aisee .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ninauelewa na hizo mambo kuliko yeye, pia nna vifaa vinavyohusu mambo hayo.so namuongoza. sijui nimeeleweka??

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
Nifundishe na mm
 
Ndo najifunza hapa.

Nakubali sijui hasa.

Sijaridhika na kutojua.

Ungekuwa wewe mkatisha tamaa ningekujibu kiswahili.

Lakini nina imani niliyemjibu atajua mapungufu mengi kwenye comment na atajua kuwa najifunza.

Au kujifunza hapa pia ni kosa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kajifunze jukwaa la lugha au la elimu. Hapa unachafua.
 
Hahahah watu wanalichukulia game la biashara simple sana. Bongo biashara sio easy namna hio.

Bado hatujafikia level za kuendesha biashara kwa principle za vitabuni na zikaenda kama wenzetu wa ulimwengu wa kwanza huko. Ukiona mtu anapiga business kirahisi ujue yupo kitambo sana kwenye game na kashajua njia nyingi za panya za kukwepa kodi hivyo mtaji ushakuwa mkubwa sana ama supporting document za ki "Wizard" kama "Ndele" zinahusika katika ku boost mauzo. Sasa kurupuka umuige uone kitakachokukuta, remba sana duka heheh !

Wengine ndio hivyo wanatembelea upepo wa u star. Anajulikana msanii wa bongo fleva au mtangazaji basi kwa aibu wenzake wanaenda kushop ili kumpa support. Huyu wa hivi hapitii incubation period sasa wewe kaige
Mwanangu wee acha tu kaka mi niko nasoma comment tu apa alafu nacheka sana yani watu wanavyoongea kuhusu wepesi na urahisi wa biashara utafikiri biashara ni kama kupanda uyoga mzee hawajui kwamba kwenye biashara kuna vizingiti kibao na kuanzisha biashara mpaka ukafika kufanikwa sio isu ya siku moja, mwezi mmoja wala mwaka mmoja ni zaidi ya miaka mitano ukijenga biashara yako ndo angalau kama Mungu atakuwa amekunyooshea utaanza kuyaona mafanikio ya biashara yako.

aisee biashara sio isue rahisi au nyepesi kama motivation speaker wengi wa umu ndani wanavyosema ama kujibrag!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo unasoma tu bila kutafakari.

Uzi unaffahamisha na kuwalenga wale wasio na ajira.

Wenye ajira hawajaambiwa waache wakajiajiri,huo utakuwa upunguwani.

Wenye ajira waendelee na ajira zao maadamu wana malengo yao.

Ila je yule ambae hana ajira kabisa akae tu ati kisa kuna madaktari wameajiriwa ?

Akae tu na kuilaumu serikali wakati ambao anauwezo wa kuhangaika na kazi mbili tatu za kujiajiri ?

Ukiangalia nimegusia kuwepo kwa wasomi wengi na kuwepo kwa ajira chache,hakuna niliposema watu wakatae ajira kabisa.ila nilichosema ni kuwa watu wawaambiw watoto wao kuhusu kujiajiri pia.

Yaani mzazi usimuaminishe mwanao kuwa hakuna kitu kukosa ajira,mwambie kuwa kuna kukosa ajira,je atakula wwpi,atatafuta vipi ?

Hilo ndilo kusudio.

Unahitajika usome na kutumia maarifa sio unasoma tu mkuu alafu tunapata shida tena ya kufafanua wakati maudhui yako wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la sisi waafrika tunakuwa kwy umasikini wa kutupa tunajua kwamba kuwa na watoto ndio utajiri, kumbe ni mawazo ya kimasikini kuwa na watoto alafu kutokufatilia mwenendo wao, bila mzazi kuwa na idadi ndogo ya watoto ambao tutaweza kuifatilia tutaendelea kuteseka na umasikini ktk maisha yetu yote wenzetu China walinyanyuka baada ya kupiga marufuku ya kuzaaa zaaa ovyo bila kufata uzazi wa mpango na kurejesha akili kwy ufanyaji wa kazi. Ukishakuwa busy na kazi huna muda wa kukaaa na family. Matokeo ya kutokukaaa na family watoto wanaharibikiwa kwa sababu wanakosa ile muda thabiti na mwisho kuharibikiwa. Watoto wawili mpaka watatu wanatosha zaidi ya apo ni shida tuuu hata kama unayo pesa muda wa kulea family unakuwa huna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah watu wanalichukulia game la biashara simple sana. Bongo biashara sio easy namna hio.

Bado hatujafikia level za kuendesha biashara kwa principle za vitabuni na zikaenda kama wenzetu wa ulimwengu wa kwanza huko. Ukiona mtu anapiga business kirahisi ujue yupo kitambo sana kwenye game na kashajua njia nyingi za panya za kukwepa kodi hivyo mtaji ushakuwa mkubwa sana ama supporting document za ki "Wizard" kama "Ndele" zinahusika katika ku boost mauzo. Sasa kurupuka umuige uone kitakachokukuta, remba sana duka heheh !

Wengine ndio hivyo wanatembelea upepo wa u star. Anajulikana msanii wa bongo fleva au mtangazaji basi kwa aibu wenzake wanaenda kushop ili kumpa support. Huyu wa hivi hapitii incubation period sasa wewe kaige
Watu wa aina hii wambiage tu watuulize sisi tulio kwenye game la biashara mzee biashara sio rahisi ata kidogo mzee kuanzisha biashara na kuifanya ikaprosper kwenye malengo ambayo wewe unataka ni zaidi ya kupigana vita sema watu hamjui tu wengi mnaishia kusoma story na kusikiliza story za vijiweni kisha mnakuja kucomment uku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la sisi waafrika tunakuwa kwy umasikini wa kutupa tunajua kwamba kuwa na watoto ndio utajiri, kumbe ni mawazo ya kimasikini kuwa na watoto alafu kutokufatilia mwenendo wao, bila mzazi kuwa na idadi ndogo ya watoto ambao tutaweza kuifatilia tutaendelea kuteseka na umasikini ktk maisha yetu yote wenzetu China walinyanyuka baada ya kupiga marufuku ya kuzaaa zaaa ovyo bila kufata uzazi wa mpango na kurejesha akili kwy ufanyaji wa kazi. Ukishakuwa busy na kazi huna muda wa kukaaa na family. Matokeo ya kutokukaaa na family watoto wanaharibikiwa kwa sababu wanakosa ile muda thabiti na mwisho kuharibikiwa. Watoto wawili mpaka watatu wanatosha zaidi ya apo ni shida tuuu hata kama unayo pesa muda wa kulea family unakuwa huna

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono ila hapo kwenye kuzaa nakataa.

Nafikiri unataka kutuaminisha kuwa mtoto unatakiwa upate pale unapokuwa huna kazi za kufanya tu.ila ukiwa na kazi za kufanya basi watoto wengi ni kero.

Hili sio sahihi mkuu.

Watoto ni sehemu ya maisha kama ambavyo kazi ni sehemu ya maisha.

Kwa hiyo sehemu moja ya maisha isikuzubaishe usitekeleze sehemu nyingine ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah watu wanalichukulia game la biashara simple sana. Bongo biashara sio easy namna hio.

Bado hatujafikia level za kuendesha biashara kwa principle za vitabuni na zikaenda kama wenzetu wa ulimwengu wa kwanza huko. Ukiona mtu anapiga business kirahisi ujue yupo kitambo sana kwenye game na kashajua njia nyingi za panya za kukwepa kodi hivyo mtaji ushakuwa mkubwa sana ama supporting document za ki "Wizard" kama "Ndele" zinahusika katika ku boost mauzo. Sasa kurupuka umuige uone kitakachokukuta, remba sana duka heheh 🤣🤣🤣!

Mkuu unalo sema ni sahihi kwa watu wanao jua biashara, Tz ili kufanikisha biashara hapa lazima awe na jambo unique kama mtaji mkubwa, tax holidays strategic free rent au govt subsides.....ila kwa ukweli rate ya biashara ndogo na kati kufirisika iko juu kuliko rate ya ukuwaji ya biashara mpya.......labda biashara ya full 'gospel church' ndo unaweza ukawa na mafanikio ya haraka ila kwa ujasiriamali mngine ni pasua kichwa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu wee acha tu kaka mi niko nasoma comment tu apa alafu nacheka sana yani watu wanavyoongea kuhusu wepesi na urahisi wa biashara utafikiri biashara ni kama kupanda uyoga mzee hawajui kwamba kwenye biashara kuna vizingiti kibao na kuanzisha biashara mpaka ukafika kufanikwa sio isu ya siku moja, mwezi mmoja wala mwaka mmoja ni zaidi ya miaka mitano ukijenga biashara yako ndo angalau kama Mungu atakuwa amekunyooshea utaanza kuyaona mafanikio ya biashara yako.

aisee biashara sio isue rahisi au nyepesi kama motivation speaker wengi wa umu ndani wanavyosema ama kujibrag!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa aina hii wambiage tu watuulize sisi tulio kwenye game la biashara mzee biashara sio rahisi ata kidogo mzee kuanzisha biashara na kuifanya ikaprosper kwenye malengo ambayo wewe unataka ni zaidi ya kupigana vita sema watu hamjui tu wengi mnaishia kusoma story na kusikiliza story za vijiweni kisha mnakuja kucomment uku

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio mnawashauri nini vijana wasio na ajira? Na mnawaambia nini hawa wanaoponda vijana kila siku kwanini hawajiajiri?

Back
Top Bottom