Mfunyukuzi yu wapi jamani?

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,671
Huyu jamaa ni mtu muhimu sana katika jukwaa hili na hususani katika uwanja huu wa picha, sio siri tumemmiss sana na vitu vyake adimu, rudi uwanjani tafadhali
 
Huyu Jamaa mie bwana naogopa name calling ila namfananisha na E..................T kwenye fani ya ubandikaji wa post na Picha
 
Safari

Kisha unaambiwa huo mtumba kufuli ukija bongo watu wananunua kwa bei mbaya na kuvaa...........kazi kweli kweli
 
Huyu jamaa ni mtu muhimu sana katika jukwaa hili na hususani katika uwanja huu wa picha, sio siri tumemmiss sana na vitu vyake adimu, rudi uwanjani tafadhali

Kabadirisha jina siku hizi anaitwa El Torro, au kitu kama hicho
 
nimemtafuta mfunyukuzi nikakuta msg hii ambayo imenichefua!!! huyu mtu yuko wapi?????<HR>JamiiForums Message

This user has not registered and therefore does not have a profile to view.
 
nimemtafuta mfunyukuzi nikakuta msg hii ambayo imenichefua!!! huyu mtu yuko wapi?????<HR>JamiiForums Message

This user has not registered and therefore does not have a profile to view.

Kha...kwa hiyo alikuwa mzimu hapa?
 
Hata mimi nammiss sana Mfunyukuzi lkn ntajaribu kucheck na Ivuga au El Toro wanaweza kujua alipo
 
Of course jina lake linashabihiana sana na taaluma yake ktk kuleta picha za matukio ambayo si kila mtu aweza kuyatafuta. Mfukunyukuzi njoo jamvini bana aha! lete mafoto mzee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom