Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,762
- 4,515
Amewahi mabikira ahera aliona israel mtoa roho anamchelewesha kumtembelea
Sie,huyu aliyetembelewa na israel ni alushababufigganigga kama sijakosea sana mwaka jana ulileta uzi wa mauwaji ya mtoto mmoja huko mbeya na mtuhumiwa ni kijana akiitwa mbereseko, nisaidie, ni huyo huyo au siko sawa.
Hawa ni wachagga waliohamia upareni. Fursa ndio imewapeleka kule. Ukoo wa Temba hawa. Origin old moshi.
Nataman hata muuliza dadake wanashare baba mambo naogopa the kid hakua kbs kwenye cycle ya wenzake. Ila sako lililofanyikaaa. Walichunguzwa balaaa. Kuanzia familia, ndugu jamaa na marafiki. Alijihamisha shule huyu kwenda Arusha sec kumbe alitaka upenyo wa kuwa huruMchaga poko huyo badala ya kujiunga kusaka pesa unajiunga alushababu uuwe watu kwa faida ya maboss wa kundi
stupidity uslam ni dini ya amani hakuna mahali panasema ukiuwa mwenzako unaenda peponi kama kuna mungu wa hivyo basi sio wa kawaidaWanaolazimishwa kujitoa mhanga ni wachache sana, wengi wanajitoa wenyewe wakiassociate kitendo hicho na suala la kiimani
Watapata thawabu kwa kuifia dini ya haki, dini ya Allah (S.A.W)
Well said! 🤣 🤣 🤣Naomba niwaambie kitu maana ya neno Terrorism tunalazimishwa na nchi za magharibi kuli define wanvyotaka wao kutokana na kujihami na kuna mahali walilazimisha kutungwa kwa sharia ya ugaidi kwa nchi mbali mbali sikumbuki kama sisi tulikubali au vipi.Kwao Terrorist ni mtu anayejaribu kushawishi watu kisiasa au kutumia nguvu ikibidi kudhuru watu kwa matakwa yake binafsi ya kidini au ya kisiasa.
Sasa ukilileta neno hilo kwa Kiswahili haliwi na maana nzito kiasi hicho.Kwa muktadha huo basi kama ni ugaidi magaidi wako wengi hata hapa nchini nitatoa mfano
Ukiwa unafanya biashara kubwa sana unainyima serikali mapato yake kwenye kodi ni ugaidi.Unapokula mali ya umma fedha za miradi zimetolewa kupelekea watu maji wewe unaweka kwenye account yako ni ugaidi.Unapo chukua tenda ukawa una supply kwenye kampuni unayofanyia kazi kwa maslahi yako conflict of interest upate hela ya ziada ni ugaidi.Unapopinga kila jema linalofanywa na serikali yako kwa faida ya wananchi mfano kujenga flyover unasema ni kufuja hela wakati wewe wewe unapita na gari yako ni ugaidi.Unapopewa ukandarasi wa ujenzi wa ghorofa ukapewa vifaa wewe vingine ukauza jengo likawa chini ya kiwango likaporomoka likaua watu huo ni ugaidi.
Unapokuwa baba wa familia una nyumba ndogo ambayo unaihudumia kuliko familia yako watoto wanateseka huo ni ugaidi
Familia yao ina miliki utajiri mkubwa ndo wamiliki wa kampuni za usafirisha za KIMOTCO,MBERESERO GENERATION,KAPRICON,,wamiliki wa Sheli kadhaa na Hotel KINDOROKONatamani nisiendelee kukujibu, ila ngoja
Huyu dogo.inavyoonekana alijiunga na alshabaab muda mrefu tu, kwa kuwa hata alipokuwa shule huko dodoma wamasema alikuwa na pesa nyingi.
Inayoonekana hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufika kenya
NDI HAO AKINA BEN TEMBA NBERESERO?Familia yao ina miliki utajiri mkubwa ndo wamiliki wa kampuni za usafirisha za KIMOTCO,MBERESERO GENERATION,KAPRICON,,wamiliki wa Sheli kadhaa na Hotel KINDOROKO
kweli kabisa huyu dogo kwao ni matajiri mno kwenda kule alshabab ni matakwa yake na udini wake au pengine ugonjwa wa akili sio njaa iliyompeleka kule yaani njaa ikupeleke ukafe.Familia yao ina miliki utajiri mkubwa ndo wamiliki wa kampuni za usafirisha za KIMOTCO,MBERESERO GENERATION,KAPRICON,,wamiliki wa Sheli kadhaa na Hotel KINDOROKO
wamemuonea tu, maana alikua kajificha hostel alimfata girlfriend wake mwanachuo.
Ukishatukana unapoteza hata credibility ya kufanya na wewe argumentkumbe alikamatwa? dah.
afazali lakini alisaidia kuchinja makafiri zaidi ya 148.
Uwe na akili basiwamemuonea tu, maana alikua kajificha hostel alimfata girlfriend wake mwanachuo.