Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mchaga poko huyo badala ya kujiunga kusaka pesa unajiunga alushababu uuwe watu kwa faida ya maboss wa kundi
Nataman hata muuliza dadake wanashare baba mambo naogopa the kid hakua kbs kwenye cycle ya wenzake. Ila sako lililofanyikaaa. Walichunguzwa balaaa. Kuanzia familia, ndugu jamaa na marafiki. Alijihamisha shule huyu kwenda Arusha sec kumbe alitaka upenyo wa kuwa huru
 
Wanaolazimishwa kujitoa mhanga ni wachache sana, wengi wanajitoa wenyewe wakiassociate kitendo hicho na suala la kiimani

Watapata thawabu kwa kuifia dini ya haki, dini ya Allah (S.A.W)
stupidity uslam ni dini ya amani hakuna mahali panasema ukiuwa mwenzako unaenda peponi kama kuna mungu wa hivyo basi sio wa kawaida
 
Naomba niwaambie kitu maana ya neno Terrorism tunalazimishwa na nchi za magharibi kuli define wanvyotaka wao kutokana na kujihami na kuna mahali walilazimisha kutungwa kwa sharia ya ugaidi kwa nchi mbali mbali sikumbuki kama sisi tulikubali au vipi.Kwao Terrorist ni mtu anayejaribu kushawishi watu kisiasa au kutumia nguvu ikibidi kudhuru watu kwa matakwa yake binafsi ya kidini au ya kisiasa.
Sasa ukilileta neno hilo kwa Kiswahili haliwi na maana nzito kiasi hicho.Kwa muktadha huo basi kama ni ugaidi magaidi wako wengi hata hapa nchini nitatoa mfano
Ukiwa unafanya biashara kubwa sana unainyima serikali mapato yake kwenye kodi ni ugaidi.Unapokula mali ya umma fedha za miradi zimetolewa kupelekea watu maji wewe unaweka kwenye account yako ni ugaidi.Unapo chukua tenda ukawa una supply kwenye kampuni unayofanyia kazi kwa maslahi yako conflict of interest upate hela ya ziada ni ugaidi.Unapopinga kila jema linalofanywa na serikali yako kwa faida ya wananchi mfano kujenga flyover unasema ni kufuja hela wakati wewe wewe unapita na gari yako ni ugaidi.Unapopewa ukandarasi wa ujenzi wa ghorofa ukapewa vifaa wewe vingine ukauza jengo likawa chini ya kiwango likaporomoka likaua watu huo ni ugaidi.
Unapokuwa baba wa familia una nyumba ndogo ambayo unaihudumia kuliko familia yako watoto wanateseka huo ni ugaidi
 
Well said! 🤣 🤣 🤣

Salamu toka nchi jirani ✌️
 
Natamani nisiendelee kukujibu, ila ngoja
Huyu dogo.inavyoonekana alijiunga na alshabaab muda mrefu tu, kwa kuwa hata alipokuwa shule huko dodoma wamasema alikuwa na pesa nyingi.
Inayoonekana hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufika kenya
Familia yao ina miliki utajiri mkubwa ndo wamiliki wa kampuni za usafirisha za KIMOTCO,MBERESERO GENERATION,KAPRICON,,wamiliki wa Sheli kadhaa na Hotel KINDOROKO
 
Familia yao ina miliki utajiri mkubwa ndo wamiliki wa kampuni za usafirisha za KIMOTCO,MBERESERO GENERATION,KAPRICON,,wamiliki wa Sheli kadhaa na Hotel KINDOROKO
kweli kabisa huyu dogo kwao ni matajiri mno kwenda kule alshabab ni matakwa yake na udini wake au pengine ugonjwa wa akili sio njaa iliyompeleka kule yaani njaa ikupeleke ukafe.
Huyu kijana namkumbuka alikuwa na ugonjwa wa schizophrenia
HII FAMILIA WAKO NJEMA MNO TUNATOKA WILAYA MOJA
 
wamemuonea tu, maana alikua kajificha hostel alimfata girlfriend wake mwanachuo.
kumbe alikamatwa? dah.
afazali lakini alisaidia kuchinja makafiri zaidi ya 148.
Ukishatukana unapoteza hata credibility ya kufanya na wewe argument

Hawezekana kweli akawa Hana hatia, lakini huyu dogo alifukuzwa shuleni Dodoma akiwa form 5 kwa sababu ya itikadi Kali za kidini, alikatazwa kuvaa kibarakashia akagoma mpaka akapewa suspension ( hii kua na itikadi Kali haimletei picha nzuri kwenye kesi yake)

Pili, kesi yake iliendeshwa miaka minne mpaka hukumu Inatoka, kama alikua na tangible story ambayo Haina ukakasi sidhani kama unashindwa kushawishi watu kwa miaka Hio minne

Una demu hapo garissa mtaje jina, hata kama aliuawa lazima Kuna record zozote za mawasiliano zitakuepo kati ya huyo dogo na huyo demu( which I highly think it's a myth)... Kwanini dogo hakua na pasi yoyote ya usafiri? Miaka minne kama huna hatia unashindwa Nini kunyoosha tu maelezo kua nilimfuta flani, nilijuana nae kupitia wapi, nimefika lini, tulifanya hiki na Hiki kabla ya tukio kutokea....

Ukiwa huna maelezo ya uhakika lazima upigwe Pini, anyway RIP
 
Back
Top Bottom