Mfungwa Tarime apanda juu ya mti na kutisha kujiuwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfungwa Tarime apanda juu ya mti na kutisha kujiuwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Nov 18, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mfungwa mmoja wa gereza la tarime amepanda juu ya mti na shuka na kuanza kupiga kelele ya kwamba wananyanyaswa gerezani humo kwa kupigwa na kutopata chakula na kuna wenzao wawili teyari wamekwisha fariki. Ametisha kutumia shuka hilo kujiuwa endapo atapanda askari ktk mti huo na kudai hadi aje mkuu wa mkoa ndio atashuka na kudai vyombo mbalimbali vya haki za binadam wafike gerezani hapo kufanya uchunguzi, pia amedai kajitoa muhanga kwaajili ya wenzake na endapo atashuka anajua watamfanyia fitna kwa kumnyanyasa. Polis wametanda nje na ndani ya gereza hilo kuzuia waandishi wa habari kupiga picha eneo hilo walilodai hairuhusiwi kupiga picha, kwani kutokana na urefu wa mti huo watu walioko nje ya gereza hilo wanamwona.

  Source WAPO radio
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  jiue tu mfungwa coz ukirudi tena gerezani watakualiza kabisaa.
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Kila mahali bora ya jana. Hongera kwa kujitoa sababu ya wenzio
   
Loading...