Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndiyo swali lililoulizwa, kwa mfano mfungwa Sabaya kesho akienda mahakamani kwa ajili ya ile kesi yake nyingine jee atavaa zile Kaunda suit alizokuwa akitinga wakati akiwa mahabusu au atavaa zile sare rasmi za rangi ya chungwa?Anaenda na Nguo zake za kawaida!
Sare ni kwa mtu aliehukumiwa na kuingia Jera.
Umeelewa swali?Anaenda na Nguo zake za kawaida!
Sare ni kwa mtu aliehukumiwa na kuingia Jera.
Akitoka jela kwenda mahakamani huvaa nguo zake za kawaida ....akirudi anapiga tena gwanda zake orange mfungwa....wa ujambazi Sabaya....ingawa atakuwa anabisha ila ndio ID yake akiwa jela....mfungwa wa ujambazi wa silaha....armed robbery huwa wanaogopeka sana .....sababu ukizubaa akaishika SMG ya askari wamekwisha....Naomba kueleweshwa,Je mfungwa anayeshitakiwa kwa kesi nyingine ( Si rufaa ya kesi iliyomtia hatiani) anapoenda mahakamani anaenda na sare ya magereza kama anavyoenda hospital akiugua au anaenda na nguo zake za kawaida?.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Manka umeshafura!Anavaa sidiria pumbavu wewe
Makasiriko😅😅Anavaa sidiria pumbavu wewe
johnthebaptistNaomba kueleweshwa,Je mfungwa anayeshitakiwa kwa kesi nyingine ( Si rufaa ya kesi iliyomtia hatiani) anapoenda mahakamani anaenda na sare ya magereza kama anavyoenda hospital akiugua au anaenda na nguo zake za kawaida?.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Naomba ufafanue kidogo mkuu. Mfano Sabaya ambaye tayari amehukumiwa,na akahitajika kwenda mahakamani kwa kesi tofauti na ile aliyotiwa hatiani,je anavaaje?.Anaenda na Nguo zake za kawaida!
Sare ni kwa mtu aliehukumiwa na kuingia Jera.
Swali chonganishi