Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Hiyo kauli ya MKIFANIKIWA MJE KUTUSUMBUWA MITAANI... ndy kinachofanya WAAFRICA kuwafunga wauza madawa miaka mingi KWA HOFU YA KUSUMBULIWA MITAANI na kuwaacha WATU WENYE ATHARI KUBWA KWA JAMII WAKIDUNDA MITAANI...na kuwapa vifungo kidogo., sababu WATU WANAENDESHA MAGARI MAZURI NA NYUMBA NZR? .hiyo NI ROHO MBAYA NA CHUKI YA WAZI WAZI..KUMBE NI CHUKI NA WIVU?....wenzetu WAZUNGU wametuacha mbali sana kifikra,,,Africa itaendelea kuwa TUNDU LA CHOO CHA SHIMO ,,,,,HADI TUBADILIKE NA MAWAZO MGANDO KAMA YAKO,,, ..hivi unavyodhani MZUNGU kuwafunga WATU WA MADAWA MIEZI 6 HADI MWAKA 1 ....NA KUWAFUNGA WALA RUSHWA , WAHUJUMU UCHUMI,,MAJAMBAZI,,..HUMAN TRAFFIC(biashara ya kusafirisha binadamu),, terrorist,,..KUPIGANA NA KUJERUHI ,KUUA,,,KUBAKA,, WANAFUNGWA MIAKA MINGI NI WAJINGA? SABABU walishaona MADAWA ni hiyari ya MTU mmoja mmoja,,, lakini hayo mambo mengine ni threat kwa taifa zima ,,, ,MKUU siku ukisafiri NJE,,NDY UTAKAPOONA WAPI AFRICA TUNASHINDWA....MZUNGU hata kama unafanya kazi ya aina gani kama kipato chako hakiendani na kipato chako ni lazima akuchunguze umepataje hizo Mali, ,,ILI UWE MSAFI,,USIJIPATIE PESA ZISIZO HALALI,, HIVI NI MADAWA TU NDY UMEONA NDIYO UHALIFU MKUBWA? HIVI NI MADAWA TU NDY UMEONA VIJANA WANA TAMAA YA MAISHA YA SHORT CUT? hivi ni lini umeona Africa watu wanaulizwa? Umepata wapi mali hizi? MTU anaulizwa umejengaje nyumba hii,,,au magari yote umepataje?kama ni mtumishi wa SERIKALI? au hata sekta BINAFSI?MTU ana nyumba zaidi ya UWEZO wake umeona nani anaulizwa? MTU anaendesha magari zaidi ya UWEZO wa kazi yake umeona anaulizwa? sasa siku tukianza kuulizana kama ulaya na MAREKANI au hata huko China ,,na ukikutwa na hatia ya kujilimbikizia Mali ya umma ni kifungo sawa na MADAWA... Ndy hapo tutakaposogea ,,,lakini sio kuwasumbuwa na kuwakomoa watu wa madawa na kuwaona wanaofuja Mali za umma hawana makosa....TUACHE KUFANYA MAAMUZI YA ROHO MBAYA...TUJIKITE KTK MAAMUZI SAHIHI YA KULIPELEKA TAIFA LA AFRICA MBELE....MZUNGU jela imekuwa ni nzuri sababu jela ulaya ANAINGIA yeyote. ,kwao SHERIA ni kipofu,,inamuhukumu YEYOTE,,, haichagui,,huku kwetu Africa JELA ZIMEKUWA MBAYA SABABU NI MAALUMU KWA WATU FULANI.....na MAAMUZI YA ROHO MBAYA NA WIVU NA CHUKI KWA WATU FULANI,,,SABABU WAKIPATA PESA WANARINGA.....

Unakielewa unachoandika?

.........siku hizi elimu ya msingi hadi form four ni bure........rudi shule kwanza.
 
Sio kuiga, drugs ni MKOMBOZI na kuna njia ambazo naweza kukushawishi wewe uingie kwenye huo mchezo na huwezi kukataa maana utakuwa na uhakika sniffing dog hawezi ku-suspect chochote, Askari wenye uzoefu hawatakusanukia, wala scanner haitajua chochote.

Hizi common ways za ku-inject drugs kwa condom, kufunga tumboni, kuzivalia kwenye kiatu kuchana begi na kuzishonea ndani zikiwa kwenye mabahasha yaliyozungushiwa plastic, kuziweka kwenye vichupa au vikopo n.k zinaogopesha.
.
Sasa hivi kuna njia taaamu na Airport pekee inayoweza kusanukia hilo tena kwa nadra sana Africa ni OR Thambo, Cairo na King Mohammed V. Kwingineko watu wanakuja wanachukua mizigo wanasepa kilaini
baba nipe maujanja inbobo na mm nifaidike life inaning'iniza kama nyama kwa butcher🙏🙏
 
Mdomo nyumba ya MANENO,,,, kipi usichokielewa hapo....wewe una elimu gani?umegunduwa nn kwnz na hyo elimu yako Uchwara...huna elimu yeyote zaidi ya KUPIGA RAMLI,, NA KUOMBEA WANAUME WENZIO MABAYA..wafungwe JELA
Unakielewa unachoandika?

.........siku hizi elimu ya msingi hadi form four ni bure........rudi shule kwanza.
 
Heading yangu ilikua ni “ Mfungwa lilian “ naona ma mods wame edit na kuongeza wa Hong Kong ila alikamatwa indonesia

Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana. Siku hizi kila kitu kinaangaliwa mara mbili
 
Mdomo nyumba ya MANENO,,,, kipi usichokielewa hapo....wewe una elimu gani?umegunduwa nn kwnz na hyo elimu yako Uchwara...huna elimu yeyote zaidi ya KUPIGA RAMLI,, NA KUOMBEA WANAUME WENZIO MABAYA..wafungwe JELA

Aliyekwambia raia wanasoma ili wawe wagunduzi wa vitu ni nani?

Rudi shule babu.......shule ni muhimu sana itakusaidia.
 
Aliyekwambia raia wanasoma ili wawe wagunduzi wa vitu ni nani?

Rudi shule babu.......shule ni muhimu sana itakusaidia.
Wewe bila shaka UNAUMIZWA NA WANAUME WENZIO...wewe unajuwa mm Nina elimu gn? AU UNANIPIMA UZITO?na kama husomi kwa ajili ya kugundua kitu,,,hiyo elimu yako UCHWARA inakusaidia nn? wewe ni TAKATAKA KAMA TAKATAKA ZINGINE... huna elimu yeyote zaidi ya KUCHURIA WENZIO KUFUNGWA..
 
Nasikia waliachiwa wafungwa elfu 50 huko indonesia kwa ajili ya corona Ila Bahati mbaya haikua kwa foreigners

Huyo binti alikua anaomba sana serikali ya magufuli iwasaidie waamishiwe Magereza ya Tanzania kwan huko wanateseka sana na kubaguliwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiiiiiiiiiiiiiihhhh!!!! ihihh!!! siriqali gani?
 
Wewe bila shaka UNAUMIZWA NA WANAUME WENZIO...wewe unajuwa mm Nina elimu gn? AU UNANIPIMA UZITO?na kama husomi kwa ajili ya kugundua kitu,,,hiyo elimu yako UCHWARA inakusaidia nn? wewe ni TAKATAKA KAMA TAKATAKA ZINGINE... huna elimu yeyote zaidi ya KUCHURIA WENZIO KUFUNGWA..
Mbona una hasira sana?

........
 
Nasikia waliachiwa wafungwa elfu 50 huko indonesia kwa ajili ya corona Ila Bahati mbaya haikua kwa foreigners

Huyo binti alikua anaomba sana serikali ya magufuli iwasaidie waamishiwe Magereza ya Tanzania kwan huko wanateseka sana na kubaguliwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimeumia sana 😭
 
Hajayajua Magereza ya Tanzania narudia hajayajua!
Ni jehanam iliyoko duniani, kule si analala kwenye vitanda, vyumba vina AC ana mashuka, vyumba vina rangi tena unaweza kukuta ana roommate mmoja tu, akiamka asubuhi anakula vinono, anafanya kazi kama mazingira mazuri kama vile watu wa Benjamin Mkapa External!
.
Mwambieni, jela za Tanzania hakuna hata moja yenye AC, yenye vyumba, yenye rangi kwenye cello zake, yenye kazi rahisi, yenye vitanda kama hajawahi kuiona Jehanam na aombe sana serikali imlete hatoamini macho yake
Naunga mkono hoja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom