Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,773
- 9,966
Hiyo kauli ya MKIFANIKIWA MJE KUTUSUMBUWA MITAANI... ndy kinachofanya WAAFRICA kuwafunga wauza madawa miaka mingi KWA HOFU YA KUSUMBULIWA MITAANI na kuwaacha WATU WENYE ATHARI KUBWA KWA JAMII WAKIDUNDA MITAANI...na kuwapa vifungo kidogo., sababu WATU WANAENDESHA MAGARI MAZURI NA NYUMBA NZR? .hiyo NI ROHO MBAYA NA CHUKI YA WAZI WAZI..KUMBE NI CHUKI NA WIVU?....wenzetu WAZUNGU wametuacha mbali sana kifikra,,,Africa itaendelea kuwa TUNDU LA CHOO CHA SHIMO ,,,,,HADI TUBADILIKE NA MAWAZO MGANDO KAMA YAKO,,, ..hivi unavyodhani MZUNGU kuwafunga WATU WA MADAWA MIEZI 6 HADI MWAKA 1 ....NA KUWAFUNGA WALA RUSHWA , WAHUJUMU UCHUMI,,MAJAMBAZI,,..HUMAN TRAFFIC(biashara ya kusafirisha binadamu),, terrorist,,..KUPIGANA NA KUJERUHI ,KUUA,,,KUBAKA,, WANAFUNGWA MIAKA MINGI NI WAJINGA? SABABU walishaona MADAWA ni hiyari ya MTU mmoja mmoja,,, lakini hayo mambo mengine ni threat kwa taifa zima ,,, ,MKUU siku ukisafiri NJE,,NDY UTAKAPOONA WAPI AFRICA TUNASHINDWA....MZUNGU hata kama unafanya kazi ya aina gani kama kipato chako hakiendani na kipato chako ni lazima akuchunguze umepataje hizo Mali, ,,ILI UWE MSAFI,,USIJIPATIE PESA ZISIZO HALALI,, HIVI NI MADAWA TU NDY UMEONA NDIYO UHALIFU MKUBWA? HIVI NI MADAWA TU NDY UMEONA VIJANA WANA TAMAA YA MAISHA YA SHORT CUT? hivi ni lini umeona Africa watu wanaulizwa? Umepata wapi mali hizi? MTU anaulizwa umejengaje nyumba hii,,,au magari yote umepataje?kama ni mtumishi wa SERIKALI? au hata sekta BINAFSI?MTU ana nyumba zaidi ya UWEZO wake umeona nani anaulizwa? MTU anaendesha magari zaidi ya UWEZO wa kazi yake umeona anaulizwa? sasa siku tukianza kuulizana kama ulaya na MAREKANI au hata huko China ,,na ukikutwa na hatia ya kujilimbikizia Mali ya umma ni kifungo sawa na MADAWA... Ndy hapo tutakaposogea ,,,lakini sio kuwasumbuwa na kuwakomoa watu wa madawa na kuwaona wanaofuja Mali za umma hawana makosa....TUACHE KUFANYA MAAMUZI YA ROHO MBAYA...TUJIKITE KTK MAAMUZI SAHIHI YA KULIPELEKA TAIFA LA AFRICA MBELE....MZUNGU jela imekuwa ni nzuri sababu jela ulaya ANAINGIA yeyote. ,kwao SHERIA ni kipofu,,inamuhukumu YEYOTE,,, haichagui,,huku kwetu Africa JELA ZIMEKUWA MBAYA SABABU NI MAALUMU KWA WATU FULANI.....na MAAMUZI YA ROHO MBAYA NA WIVU NA CHUKI KWA WATU FULANI,,,SABABU WAKIPATA PESA WANARINGA.....
Unakielewa unachoandika?
.........siku hizi elimu ya msingi hadi form four ni bure........rudi shule kwanza.