Mfungwa Lengai Ole Sabaya asuburiwa na Takukuru mkoa wa Kilimanjaro kuna tuhuma za kujibu

Kesi na hukumu siyo kwa ajili yake tu, ni pamoja na kuwa fundisho kwa wenye tabia, vitendo na fikra kama zake.
Mtu anaweza kushitakiwa hata kama umri na hali yake ni ya kufa nyakati hizo hizo.
Uko sahihi, sasa hapo unakosoa au kupinga nin?
 
Dah! Huyu Sabaya hayo maagizo aliyokuwa amepewa yalikuwa na ukomo upi? Mana wasiwasi wangu tusijesikia na Chato Wana malalamiko yake.
 
Sabaya apewe tuzo pia ajengewe sanamu mpakani mwa Moshi na Arusha, kaupiga mwingi sana.
2969177_229347F1-BE23-4448-9E04-56B55AC0010A.jpeg
 
Uko sahihi, sasa hapo unakosoa au kupinga nin?
Kwamba hata kama mtu amehukumiwa kifungo miaka mingi, haizuii kuendeleza kesi nyingine mpya kama zipo ili kufundisha mhusika mwenyewe na wengine.
Elewa hoja.
 
Hao ndio walikuwa wsiojulikana ila sabaya kutokana na confidence na ushamba akawa anajionyesha. Ndio hayo.

Bashite, mnyeti na Yule aliyefukuzwa mwanza Yule mwenyekiti wa ccm Iringa ni miongoni mwao.
 
Mshenzi alikuwa analia vibaya baada ya kuona jamaa aliyekuwa anamtuma kadanja
IMG-20211022-WA0024.jpg
 
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes amesema upatikanaji wa Lengai Ole Sabaya ulikuwa mgumu sana kutokana na Arusha na Kilimanjaro ni mikoa tofauti hivyo walisubiri amalizane na kesi zake Arusha

Mkuu wa Takukuru Kilimanjaro amethibitisha kuwa tuhuma za Sabaya zinazidi kumiminika kwenye ofisi yake Kilimanjaro,

Aidha Frida Wikes amefafanua kuwa kuendesha kesi mfululizo mkoani Arusha za Sabaya zimefanya kuwa ngumu kumpata Lengai Ole Sabaya ili ajibu tuhuma zinazomiminika mkoani Kilimanjaro

Frida Wikes amesema atafafanua wakati na muda muafaka utakapofika
Hata wamfungulie kesi mia hao mafarisayo wa kichaga hawatafanya tuamini mwanamapinduzi sabaya ni gaidi na jambazi. Sabaya aliwapa somo la kuacha magendo dhuluma na kulipa kodi. Mabwanyenye wa kimachame wanataka kula nyama ya sabaya kwa kuwadhibiti kuhusu magendo na ufisadi wao.
 
Back
Top Bottom