Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ingekuwa inaruhusiwa kujumlisha miaka ya hukumu ikizidi kadhaa iwe sawa na hukumu ya kifo, huyu jamaa angepotea.Si anyongwe tu kila siku kusumbua watu na makesi kibao.
Mtoto wa shetani
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
OverInawezekana bwana Sabaya licha ya kutumwa na yeye lijituma zaidi kwa mgongo wa kutumwa!
Mkuu kwani kumuombea mtu apewe haki yake ni kumuombea mabaya? SAbaya ameyataka MAbaya mwenyewe na wanachofanya watu wanaombea apewe haki yake aliyo ichagua mwenyeweIngawa siyo vema kumuombea mtu mabaya lkn kwa huyo dogo wengi wanamuombea mabaya sana .
Nakubaliana na wewe kiongoziMkuu kwani kumuombea mtu apewe haki yake ni kumuombea mabaya? SAbaya ameyataka MAbaya mwenyewe na wanachofanya watu wanaombea apewe haki yake aliyo ichagua mwenyewe
Naona unamfanya Makonda azidi kukondaWamfunge tuu kifungo cha maisha
Sidhan kama weng wamekuelewa. Ila nime note inakuuma kuona anatunzwa na serkali ilihali unaamin katika namna yako hiyo ya kumalizana na mbaya wako.Wampumzishe 30 Inatosha Wakimbana Sana Itafika Miaka 100 Hatatoka
Haki itendeke kwa kila aliyefanyiwa unyama na Sabaya. Unadhani yule aliyepigwa misumari miguuni anaridhika Sabaya kufungw kwa kesi ya kupora hela dukani? Hapana, naye anataka asikilizwe na aliyemtenda ahukumiwe.Wampumzishe 30 Inatosha Wakimbana Sana Itafika Miaka 100 Hatatoka
Huyu wangefanya haraka kumshughulikia kabla hajakonda.Naona unamfanya Makonda azidi kukonda
Siku Ya Kumuaga Sponsor Alilia Akijua Amekwisha KabisaHaki itendeke kwa kila aliyefanyiwa unyama na Sabaya. Unadhani yule aliyepigwa misumari miguuni anaridhika Sabaya kufungw kwa kesi ya kupora hela dukani? Hapana, naye anataka asikilizwe na aliyemtenda ahukumiwe.
Hili jambo linaweza kusababisha Sabaya akawa na kesi hata 50 na zote zikamfunga kwani alikuwa anafanya uhalifu bila woga maana sponsor ndio mwenye nchi na ni jiwe
Bado naamini zamu yake ndiyo inafuatia.Huyu wangefanya haraka kumshughulikia kabla hajakonda.
Sio vizuri kumshughulikia mtu akiwa amekonda
Ndiyo maana alilia kama mdoli vileSiku Ya Kumuaga Sponsor Alilia Akijua Amekwisha Kabisa
Hizi mission zote zakupokonya watu pesa kwa kutishia kuwabambikia kesi ya uhujumu ni missions za Sabaya yeye binafsi.Inawezekana bwana Sabaya licha ya kutumwa na yeye lijituma zaidi kwa mgongo wa kutumwa!
Kuna punguzo nadhani ni 1/3 hawezi tumikia miaka yote thelathiniKwa umri alio nao wa 35 yrs hawezi kumaliza 30yrs in jail akawa mzima tena