Mfungwa Lengai Ole Sabaya asuburiwa na Takukuru mkoa wa Kilimanjaro kuna tuhuma za kujibu

Wampumzishe 30 Inatosha Wakimbana Sana Itafika Miaka 100 Hatatoka

Sidhan kama weng wamekuelewa. Ila nime note inakuuma kuona anatunzwa na serkali ilihali unaamin katika namna yako hiyo ya kumalizana na mbaya wako.
 
Wampumzishe 30 Inatosha Wakimbana Sana Itafika Miaka 100 Hatatoka

Haki itendeke kwa kila aliyefanyiwa unyama na Sabaya. Unadhani yule aliyepigwa misumari miguuni anaridhika Sabaya kufungw kwa kesi ya kupora hela dukani? Hapana, naye anataka asikilizwe na aliyemtenda ahukumiwe.
Hili jambo linaweza kusababisha Sabaya akawa na kesi hata 50 na zote zikamfunga kwani alikuwa anafanya uhalifu bila woga maana sponsor ndio mwenye nchi na ni jiwe
 
Siku Ya Kumuaga Sponsor Alilia Akijua Amekwisha Kabisa
 
Inawezekana bwana Sabaya licha ya kutumwa na yeye lijituma zaidi kwa mgongo wa kutumwa!
Hizi mission zote zakupokonya watu pesa kwa kutishia kuwabambikia kesi ya uhujumu ni missions za Sabaya yeye binafsi.

Hii kesi mpya ya Kilimanjaro itakayofuata huenda ndiyo ile amefanya featuring na Meya wa Moshi mjini Comrade Raibu. Ni bonge la colabo.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom