Mfungwa aliyepatiwa msamaha wa Rais agoma kutoka jela

Katika Watanzania wenye Akili nyingi huyu ni mmoja wao

Huwezi ukatangaza unawapa watu msaada wa kuwatoa watu Gerezani kuwapeleka Uraiani bila ya kuwatayarisha kimawazo, kiuchumi, kisaikologia nk....
 
Mi nadhani kabla ya mfungwa kuachiwa inabidi apangiwe na kufanyiwa counselling programs mpaka pale anapo settle akili. Some how nadhani wanapokuwa huko huwa wanajenga dunia fulani akilini mwao. Kuna jamaa yangu alimaliza kifungo miaka 4 iliyopita, maisha yake ni ya ajabu sana. Very hardworking, but ni malaya kweli kweli, currently ni mwathirika wa ukimwi na ameupata baada ya kutoka gerezani
 
Point
Magereza wampe hata kibarua kwenye karakana zao za mambo ya ufundi, au asimamie bustani zao.
Afundishwe udereva trekta akafanye kazi kwenye mashamba ya miradi ya serikali ya kilimo na utafiti.
 
Wamuache miaka ambayo anko yupo madarakan akitoka wamuache anaogopa kuisoma namba kwa kichina
 
Naam
Katika Watanzania wenye Akili nyingi huyu ni mmoja wao

Huwezi ukatangaza unawapa watu msaada wa kuwatoa watu Gerezani kuwapeleka Uraiani bila ya kuwatayarisha kimawazo, kiuchumi, kisaikologia nk....
 
Back
Top Bottom