Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,071
Naishi kwenye jamii ya waislamu wengi kuliko wakristu, jirani yangu mpendwa(family friends) ni swala tano. Cha ajabu hawa jamaa zangu wanakula vizuri sana kipindi cha mfungo. Dhana ya kufunga siioni kabisa kwao. Kipindi cha mfungo wao wanakula kuliko kawaida. Nahisi hili Roba la Nazi ni kwa ajili ya futari na daku si kawaida yao kwa ukanda huu wa pwani ninakoishi kufanya maandalizi murua kama haya.
Picha itafuata, nawalia timing niwapige.
Picha itafuata, nawalia timing niwapige.