Mfungo unavyoadhiri WALAFI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfungo unavyoadhiri WALAFI

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by fiksiman, Sep 17, 2009.

 1. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamani mwezi ndo unaelekea ukingoni, nataka kuwatonya kituko nilichokutana nacho hivi karibuni....mkanda ulikuwa hivi:

  Tulikwenda kwenye kazi na wenzangu kama wanne hivi, ilikuwa maeneo ya masaki kwa mzito mmoja...(timu ya waandishi). Basi tukachapa kazi hadi majira ya jioni sana...karibia na muda wa futari. Sasa mama mwenye nyumba akauliza kama wapo waliofunga. Wote tukaonyesha vidole.

  Basi adhana ilipopigwa tukasogea kwenye mkeka na vinono vikawasili. Sasa aibu ilikuja pale tulipoanza kupiga tukio. Heee, hamadi si wadau wawili wakasali rosali (wakaonyesha alama ya msalaba kwenye paji la uso kisha wakatulia kwa muda kama wanasali). Wote tushikwa na aibu maana walikuwa watu wazima.

  Jamani mwezi huu!
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa mujibu wako mwenyewe swali lilikuwa "kuna waliofunga", halikuwa "kuna waislam".

  Kufunga Ramadhan is nothing more than changing the hours, kutoka kula mchana kwenda kula usiku, kwa hiyo kama mtu unaweza kujilia usiku kucha na kulala mchana what is the difference?
   
 3. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa kitaa unawachomoa tuu kundini,mnawalamba mikono kama walikuwa wameshaichonvya kunako futari kisha wanakuwa watazamaji.
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  This is what I call a food fight, is this what Islam represent?
   
 5. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  u got it wrong, hapa hatuzungumzii uislam ila tabia za watu kupenda vya dezo. Kama shida ilikuwa ni kula si wangesema hawajafunga ila wangependa kujumuika kwenye futari pengine mwenyeji angeweka mkakati mwingine kwa ajili yao.

  Huo unataka kuleta kwenye thread yangu ni udini tafadhali tuache uchochezi. Afteral it is just a joke!
   
 6. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mkuu inaonekana Hujaelewa maana kufunga...hebu tuambie wapi walisema kufunga ni kubadili muda wa kula? AU ndo mnavyofanya kwenye dini yenu (nahisi wewe si muislam) maana huku kwetu hatuna maana hiyo na nina hakika hata kwa wengine pia hawana maana hivyo.
   
 7. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu kosa unalofanya ni kubishana na huyu muheshimiwa,nafikiri angeenda katika jukwaa lao la dini.Mwache aendelee kumwaga pumba zake tuu,tusije tukaonekana wote hamnazo.
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unajuaje kama hawajafunga? Katika maandishi yako hujaonyesha popote ambapo panaonyesha hawajafunga.

  Kama kuna mtu anayeleta udini ni wewe unaetaka kuwabagua wakristo kwa sababu ya dini yao wakati hujui kama wamefunga ama la.

  Kama hatuzungumzii uislam kwa nini unawatenga wakristo kwa mujibu ya dini yao? Kama issue ni kufunga unajuaje kwamba hawajafunga?

  Kama issue ni kupenda vya dezo, hata hao waliofunga si wanapata vya dezo hapo? Sasa kama wote wamefunga na wewe si mbaguzi wa kidini, kwa nini unaona hawa wakristo tu ndio wanaopenda dezo?

  Unajuaje kama hawajafunga, mbona hkuonyesha kwamba hawajafunga katika original post?
   
 9. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  As far as eating is concerned mnakula usiku kucha (night) na kuacha kula mchana kutwa (day), so how is that different from just switching day and night,as far as eating is concerned?
   
 10. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Umeshinda ndugu yangu maana hOja zako ni KUU...sikujua kama kuna dini nyingi nayo ipo kwenye mfungo kama waislam. Kwahiyo kaka na unahisi hao nao walikuwa wamefunga sio? Sikujua kama wakiristo hufunga sunnah au kwaresma tayari...tehetehetehete bluray acha mambo yako ya kudebate kila jambo... huchelewi kugeuza hapa kijiwe cha siasa. Hapa bwana tumekuja kucheka na kuburudika unakotupeleka SIKO MDAU LOO!
   
 11. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  we kiboko duuh!
   
 12. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nini kiboko,huyu muheshimiwa ni bakora kabisa.
   
 13. m

  mkulu Member

  #13
  Sep 18, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nahisi jamaa hakuelewa kilichokuwa kinazungumziwa au kama ameelewa basi ameelewa sivyo!!
   
Loading...