Mfumuko wa bei umepanda hadi kufikia 6.6%

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
MFUMUKO WA BEI: Mfumuko wa bei umepanda hadi 6.8% kwa mwezi Disemba 2015 ikilinganishwa na 6.6% mwezi Novemba, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) yasema leo.
 
Mfumuko wa bei umepanda hadi 6.8% kwa mwezi Disemba 2015 ikilinganishwa na 6.6% mwezi Novemba, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) yasema leo.
 
Mtaisoma namba,hapa kazi tuu (sic!)
Tuko bize tunatumbua majipu,bomoabomoa,fukuzafukuza,ziara za mstukizo (zingine saa name usiku),kutoa siku saba nk.
. sasa nyie mnatuletea habari ya nyanya sembe,mchele,
. nondo,bati nk eti zimepanda bei . Tunawaambia hivii
. HATUNA HABARI HAPA KAZI TUU
 
Back
Top Bottom