Mfumo wetu wa elimu sio mzuri

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Mfumo wetu wa elimu umekuwa sio rafiki kwa muda mrefu haubadiliki miaka nenda rudi.

Kuna mabadiko ya kitekinolojia katika mifumo ya baadhi ya vitu kwa mfano magari ya zamani na ya sasa, Simu za zamani na za sasa,computer za zamani na sasa.

Lakini katika mfumo wa elimu na shule kwa ujumla umekuwa ni ule ule kwa miaka yote.

Mfumo wetu unajali zaidi matokeo na marks katika mitihani hata kuliko uelewa wa wanafunzi.

Ndio maana wanafunzi hufanya udanganyifu katika mitihani wakijua wanachojali walimu wao ni matokeo tu. Wanafunzi wanafunzwa kufuata maelekezo kama vile mashine.

Huomba ruhusa watakapo kujibu swali watakapo kwenda chooni na pia hukaa katika mistari nyoofu katika madarasa yao!!

Ningefurahi kama mfumo huu ungebadilika

#Iam Zagarino
 
Kwahiyo hayo mabadiliko unataka yawaje, hebu fafanua vizuri.
Elimu yetu imekuwa ikipima uelewa wa wanafunzi kupitia mitihani na majarubio...
Wabadilishe mtazamo huo kwa kutambua kuwa uelewa wa mtu haupimwi kwa mitihani....

Wawape wanafunzi muda wa kutosha kupumzisha akili ili kuwajengea akili dhabiti...

Toka msingi watoto wajifunze masomo wayapendayo bila shuruti naam wajifunze wasiyoyapenda kama ziada tu....

Hata kama mitihani itakuwepo matokeo ya wanafunzi yasibandikwe hadharani bali kwa faragha
 
Mfumo wetu wa elimu umekuwa sio rafiki kwa muda mrefu haubadiliki miaka nenda rudi.

Kuna mabadiko ya kitekinolojia katika mifumo ya baadhi ya vitu kwa mfano magari ya zamani na ya sasa, Simu za zamani na za sasa,computer za zamani na sasa.

Lakini katika mfumo wa elimu na shule kwa ujumla umekuwa ni ule ule kwa miaka yote.

Mfumo wetu unajali zaidi matokeo na marks katika mitihani hata kuliko uelewa wa wanafunzi.

Ndio maana wanafunzi hufanya udanganyifu katika mitihani wakijua wanachojali walimu wao ni matokeo tu. Wanafunzi wanafunzwa kufuata maelekezo kama vile mashine.

Huomba ruhusa watakapo kujibu swali watakapo kwenda chooni na pia hukaa katika mistari nyoofu katika madarasa yao!!

Ningefurahi kama mfumo huu ungebadilika

#Iam Zagarino

UNACHO LALAMIKA NN? WEUNAZANI KUNA NCHI AMBAYO AWANA MITIHANI? JE NINJIA GANI UTATUMIA KUFANYA EVALUATION KWA MWANAFUNZI? MBONA TUPO SAHIHI NA DUNIA NZIMA INATUMIA MITIHANI KUFANYA EVALUATION! ''MBONA UNALIA SANA'' au umefelisana? KIFUPI MITIHANI SIO CONFIRMATION YA UWEZO WA MTU BALI NIKIPIMO CHA KWANZA KINACHO ONESHA DALILI ZA UWEZO WA MTU na NDO MAANA TUNA INTERVIEWS AMBAZO NYINGI ZINAMPA MTU UWEZO WAKUTETEA ALICHO SCORE KWENYE MAKARATASI( EXAMS) sasa wewe ndugu unakwama wapi?
 
Mtihani mtu anaweza kukopy na akafaulu so mtihani hauwezi Pima uelewa wa mtu hata siku Moja.
 
Tuanzie kwa walimu,mmewatengenezea mazingira gani rafiki ya maslahi yao?
 
Kufanya mitihani hakukwepeki.
Ila, nakuunga mkono kwamba tunahitaji elimu yetu iwe practical zaidi na mitaala irekebishwe zaidi iendane na mambo yanayotuzunguka.
 
Mtihani mtu anaweza kukopy na akafaulu so mtihani hauwezi Pima uelewa wa mtu hata siku Moja.

SOMA VIZURI NILICHO ANDIKA,, uelewe NDO U COMMENT........
Kufanya mitihani hakukwepeki.
Ila, nakuunga mkono kwamba tunahitaji elimu yetu iwe practical zaidi na mitaala irekebishwe zaidi iendane na mambo yanayotuzunguka.

Unazani tz atuna practical? sasa nikuambie tu, kwa tz coz zote tuna practical na akuna koz inayofundishwa apa tz ambayo aiendani na mambo yanayotuzunguka kama unavyo dai, nikupe mifano ya kozi
1.Udaktari
2.Unesi
3.Ualimu
4.Engineers
5 n.k...........
je umeshaendaga hospitalini daktari akakuponya kwa maneno? by the way may be tatizo ni translation ya word ''practical'' ?
unajua kuna vituviwili kama sio vitatu au vinne aujui ndo maana unayumba ila tuangalia two key words..knowledge and skills

a) knowledge ...kifupi hii ndo theories ambazo tuna fundishwa ambazo ni Muhimu sana ..kwamfano...mtua anae au alie tengeneza simu nilazima awena na knowledge(concept) yakutosha kuhusu mfumo mzima wa simu ikibidi aukariri kwelikweli
b) skills : hii ni uwezo wakutumia maarifa ulio nayo kutatua changamoto fulani....kwa mfano daktari anatumia concept aliyo nayo ku interpret dalili alizo nazo mgonjw, ness, mwal as well as loyer wana aply knowledge in real life sasa ww sijui tatizo likowapi
addition .......apa tz tatizo sio education system balini lack of creativity and innovation (UBUNIFU na UVUMBUZI) na sio kwamba watanzania ni vilaza nikwamba akuana motivation kwa vijana wenye mawazo ayo akuna uwezeshaji...Mtu anafikiria kwanza ana ajira, stress nyingi maisha magumu so its very very difficult
 
Kwanza nimesema elimu iwe practical 'zaidi'. We unaniquote na kujibu as if nimesema haiko practical kabisa.
Pili, practice nayoiongelea ni ya masomoni. Wewe unaniambia mambo ya daktari kunitibu kwa maneno! Hiyo ni kazini mzee.

The thing is, elimu yetu iwe practical zaidi kuanzia chini mpaka college. Hao maengeneer unaowasema wenyewe tumesoma nao wanapiga theory tu bila vitendo kwa miaka minne halafu wakihitimu tunatarajia wawe wameiva.
 
Back
Top Bottom