Hivi serkali za mitaa ni mvutano kati ya wanasiasa na wataalamu? Je mvutano na wakati mwingine uhasama na kutishana katika halmashauri zetu ndio kichocheo cha kuleta maendeleo sehemu zote duniani mfumo huu unapofanya kazi?