Mfumo wa pesa: Kwanini serikali inatumia madufu karne hii ya Mpesa/Bank

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,598
8,738
Yaani labda mimi sielewi ni kwanini rambirambi, michango hata ya wafanyakazi wa serikali na ahadi zinatolewa kwa pesa za karatasi. Siku hizi kuna bank ATM, Tigo pesa, MPESA....... sasa kwanini serikali ina halalisha matumizi ya pesa kama vile makaratasi tena ukizingatia pesa zetu thamani iko chini sana. Wananchi hawawezi kuanza kutumia bank kama wanaona viongozi wa serikali wanatoa pesa za madafu kwenye kila tukio la michango.
 
Mkuu..madufu ndio pesa za aina gani..??
 
Back
Top Bottom