INAUZWA Mfumo wa makaro ya kisasa yasiyojaa (BIODIGESTER SEPTIC TANKS)

xhuming2019

Member
Jan 6, 2019
10
3
Karibu Tanzania Septic Solutions tukupe ushauri na kukujengea makaro ya kisasa ya choo yasiyojaa katika kipindi chote cha matumizi yake tupigie
number 0672 883 447 kwa maelezo zaidi na kutembelea site yako ni bure kwa wakazi wa dar es salaam
1. Shimo halitajaa katika kipindi chote cha matumizi yake
2.Inachukua eneo dogo sana la eneo la kiwanja chako shimo linakuwa na urefu wa mita moja tu na upana wa mita moja
Karibuni sana
3.Kampuni inakupa guarantee ya miaka 5
4. Makaro haya hayana harufu wala wadudu
5.Makaro hayaHayachagui udongo
6.Tunayo ya size tofauti kulingana na idadi ya watumiaji kama, Shule,familia ,hospital,hotels nk

Bei inategemea na site ilivyo lakini kwa mfumo wa majumbani ni 2M

KARIBUNI TUPIGIE
0672 883 447
AU NJOO DM KWA MAELEZO ZAIDI


IMG-20181007-WA0007.jpeg
IMG-20181010-WA0023.jpeg
IMG-20181010-WA0015.jpeg
IMG-20181007-WA0008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20181009_192727_230.JPG
    IMG_20181009_192727_230.JPG
    27.4 KB · Views: 65
Okay nimeshaweka bei kwa matumizi ya majumbani ni 2M
Na jinsi mfumo unavyofanya kazi number hizo naomba mtupigie niwape maelezo asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Be serious, kama uliona kuna haja ya kuweka tangazo publicly kwa nini maelezo yawe private. Tiririka hapa uweze kushawishi wateja na sio kila mtu anauwezo wa kukupata kwa simu. Umeamua kutangaza biashara hakikisha unaitangaza kikamilifu mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni je hiyo teknologia inaitwaje na imethibitishwa na taasisi ipi
 
Hii ni moja ya design ya septic tank niliyoifanya kwa ajili ya hoteli , septic tank hiyo apo juu ina uwezo wa kuhifadhi takribani lita 80,000 ,
Nimeweka chemba tatu ili maji yatakoyekwenda kwenye soakway pit yawe clean, kinachofanyika kwenye soakway pit, ni kwamba hii soakway pit hufyonza au hunyonya haya maji.
Kuna namna nyingi ya kujenga hizi soakway pit.. hii itategemea aina ya udongo ktk site yako..
Mfano hapo kwenye design yangu site ina udongo wa mfinyanzi, hauruhusu maji kepenya kwenda chani au haunyonyi maji.. cha kufanya utaondoa huo udongo futi 2 kwenda chini, utajaza material ambayo yatafyonza maji, material hayo ni gravel atleast upate G15, kokoto za inch 1, mchanga... haya material utayapanga kwa leyer ya 15 cm utanza na gravel, kokoto then mchanga...
 
Hivi hii issue ni real au fiction.

Mwenye ushuhuda wa ufanisi wa huu mfumo kwenye population kubwa mf Lodge/Guesthouse,shule,hotel,vyoo vya kulipia!!
 
Hivi hii issue ni real au fiction.

Mwenye ushuhuda wa ufanisi wa huu mfumo kwenye population kubwa mf Lodge/Guesthouse,shule,hotel,vyoo vya kulipia!!
Mkuu kinachofanya haya mashimo yajae ni maji kwa kuwa tumeshapata sehemu ya kuyatolea ambayo ni hiyo soakway pit, ishu ya kinyesi , inakuwa hiv, kinyesi hiko kinapo changanyika na maji baada ya masaa kumi naa hiv kinatengeneza sludge ambayo hujitenga chini kabisa, hiyo sludge huliwa na bacteria,
 
Na kuna dawa maalum zinauzwa, septic enzyme hii unamimina ktk septic tank yako hii dawa ina speed rate ya hiko kinyesi kuliwa
 
Back
Top Bottom