Mfumo wa maisha ya wanawake wengi hapa Tanzania

mie sijaathirika asee..halafu nikiacha ndo iweje?.nikate nywele?
NiPM nina dawa kwa watu amlioathirika na matumizi ya dawa za nywele na mo tayari kuacha kutumia hizo dawa.
Hakuna gharama yeyote kwa ajili ya hiyo dawa. Tiba Mbadala..!
 
makubwa, asante kwa ushauri ila hizo nguvu ulizotumia wapelekee na wengine, me kwangu usiendelee tena wazipoteza bure, kupaka dawa ndo siachi hivyo sababu siijui
 
Hakyanani Haya madude yanawafanya wanawake wanuke vuchwa balaa..two-three weeks mtu haoshi kichwa? Khaaa!

Hata mimi nashangaaga sana...utakuta kasuka manywele feki anajipigapiga kichwani au kujikuna kichwa...ukimuuliza vipi? anajibu"nywele znawasha"...sasa kuna kuna raha gani sisi tukuone umependeza wakati wewe unaugulia maumivu kichwani...halafu wengine wakiweweka manyweli hayo kichwani wiki nzima kichwa hakigusi maji...daah uchafu sana
 
Ngoja nikuulize kijana hivi UZURI umeanza leo au jana? BABU yako alimpendaje BIBI yako wakati wakichumbiana? BIBI yako alivaa WIGI au kuweka nywele DAWA? Ukinijibu hayo nitakueleza zaidi.


Bro haijaka poa hivi nikuulize unaweza kumpenda msichana au mwanamke ambaye hajapendeza kweli waache watoto wang'ae bhana wanawake uzuri mengine baadae
 
Back
Top Bottom