Mfumo wa kupiga kura kwa komputa online kutumika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumo wa kupiga kura kwa komputa online kutumika

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Profesa, Nov 29, 2011.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Hivi ninavyozungumza TBC wanarusha hewani mfumo wa kupiga kura kwa kompyuta nimefurahia sana mfumo huu, shida ni nani mmiliki wa site hii ambaye hatachakachua kura hebu cheki hapa:
  TANZANIA VOTING SYSTEM - SYSTEM

  Nimevutiwa sana na mfumo huu, wana JF leteni maoni mnaonaje na mnasemaje kuhusu ubunifu huu? Wachakachuaji wataufurahia kweli? Ukizingatia mambo yetu ni kuchakachua kwenda mbele?
   
 2. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu hapo.........
  Hawa jamaa wanazuga tu Software hii inaacha maswali kibao tena hata kwa computer wa kawaida mfano:
  Kwanza kuna process kibao ambayo kwenye software ni ntatizo pia
  Just imagine mimi nimejiandikisha arusha niwapi nitaona mbunge wangu?
  maana hapo kuna majina na jimbo ambalo ni default,
  Jeutajuaje kama mimi nimejiandikisha kupiga kura? nikipiga mara mbili utajuaje? wapi natakiwa kuigiza nanba ya kadi yangu?
  Mwisho hii mi sioni kama ni Voting system ambayo unaweza hata kupeleka kwenye uchaguzi wa Chuo, hii kitu haina tofauti na poll za kwenye blogs mbalimbali NANI MWIGIZAJI BORA TANZANIA? so what? Kama unataka voting system ya kweli kaa chini angalia wengine wanafanya nini then tengeneza tuletee hapa BONGO. Kwanza hata hao TBC vilaza tu kitu kama hicho nacho unakipa airtime si bora wangetuwekea masebene tu..........Lol!
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  TBC wenyewe tovuti yao inaonyesha wataalamu wao wa ICT hawajui hata System deveopment process. Sasa issue ya voting ilivyo complex kama wameisimplify hivyo ina maana hawajui ni kama story za kahawa.

  Labda kama ni mfumo wa kupira kura za maoni.  Kisiasa na kinadharia na kwenye masikio inapendeza kusikia lakini kivitendo na implimentation yake ni ngumu na kwa tanzania hakuna haja na haitaongeza ufanisi wala tija. Huo mfumo unawea kuwa unafaa nchi kama india au china. Na sio kama ulivyoonyesha kwenye tovuti. Hiyo ni voting system ya maoni tu haiwezi kuwa voting system ya uchaguzi real
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,420
  Likes Received: 81,471
  Trophy Points: 280
  Hata katika nchi zilizoendelea bado wanaangalia uwezekano wa kupiga kura online na bado wanaona mfumo huo haujaminika kiasi cha kuanza kutumiwa maana hackers, achilia mbali uchakachuaji unaoweza kufanywa na chama kilichopo madarakani, wanaweza kufanya vitu vyao na kuvuruga kabisa uchaguzi. Kwa Tanzania pia wenye kumiliki computer bado ni asilimia ndogo sana ya population yetu hivyo wengi hawataweza kupiga kura kwa mfumo huu.
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Niliona katika cooperation South South Brasil imejitolea kusaidia nchi za maghreb kuorganize election hivo. Tunisia, Egypt Lybia na zingine ambazo zinahitaji.
   
 6. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Eti online? Let the hacking begin!


  Ngoja tukatest security.
   
 7. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenetration tests....
   
 8. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama hivi eeh?
  PHP:
  if ($total_votes_chadema>$total_votes_CCM){
  echo 
  'Uchaguzi inabidi urudiwe, system imefail';
  }
   
 9. B

  Brother Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kijana wa UCC huyo ndo aliyeleta hy idea. Cijui anataka TLP ishinde hk aitegemewi, 2sikimbirie level ambazo cio ze2.
   
 10. nyotanjema

  nyotanjema Senior Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mh hii system ipo phase gani jamani mbona ya ki local sana sioni tofauti na ile ya kwenye magazeti,nashauri huyu mtengenezaji arudi shule
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Weakness utata na ugumu wa system hiyo
  • Kupiga kura kwa online maana nyumbani au anakuwa internte cafe. sasa si ndio mwazo wa watu kununua kura tena kirahisi zaidi . Mtu anayepiga kura akiwa kwake utajuja pale anapopiga kura kuna mtuk wa cha fulani yupo anamtazma kuona anamchagua nani aili amkabidi mshiko
  • Ni rahisi mtu mmoja kupiga kura zaidi ya moja. ukishauwa na Number za kupiga kura basi utaneda internefulani utampigia kura X. utaenda internet nyingine kutumia kadi nyingie utampigia ura X. Utatumia Di nyingine na modem ya Tigo au Celtel kupigia kura X. So ni rahsii mtu mmoja kupiga kura hata 100.
  • Kwa kutumia teknolojia ya kubadilisha au ku fake IP mtu wa dar hata UK USA anaweza kupiga kura mbunge wa kigoma.

  labda kama alikuwa na maana ya kuwa watu wanakwenda kwenye vituo vya kupiga kura then wanakuta computer system za kuchagua wagombea . Again hiyo vile vile ina matatizo yake lakini inatoa complication kibao za kupiga kura online
   
Loading...