Wacha uongo dogoHakuna hyo ndugu...
Kusoma ni kipaji ndugu, kama hauna kipaji jichanganye kwenye mishe zngine... Ili usipoteze your time
Inawezekana kabisa, tena ukimaliza unaweza fika NECTA physcaly na ukawapa vyeti vyako vyote na kupewa cheti kimojahabarn za leo,
ivi ule mfumo wa kuunganish cheti kwa wale wanao rudia mitihani bado upo au system imebadilishwa?
mf 2015 nimepata D moja,2016 nikapata D nyingine moja ,Je nawez kuunganisha ikawa chet kimoja?
asante kw msaadahiyo inaezekana ila sio kufanya cheti kiwe kimoja, endapo uta apply chochote watakuambia uweke first sit and second sit, ata third sit , ili mradi tu grades zako zikidhi vigezo vinavyo hitajika katika ngaz husika,,,,,,,swala la kuunganisha unganisha mwenyewe uone una point ngapi, ni ivyo ndugu angu
inawezekana elimu yangu huifikii hata kwa nukta...hilo swali nimeuliza kwa niab ya mtu fulani...nilikosa cha kumjib ikabd niulize huku...afu kwa ushaur acha kukatisha watu tamaa duniani kuna mengi hyu ameshindwa hapa hujui wew utashindwa wapHakuna hyo ndugu...
Kusoma ni kipaji ndugu, kama hauna kipaji jichanganye kwenye mishe zngine... Ili usipoteze your time
Kweli?Inawezekana kabisa, tena ukimaliza unaweza fika NECTA physcaly na ukawapa vyeti vyako vyote na kupewa cheti kimoja
Sawa msomiinawezekana elimu yangu huifikii hata kwa nukta...hilo swali nimeuliza kwa niab ya mtu fulani...nilikosa cha kumjib ikabd niulize huku...afu kwa ushaur acha kukatisha watu tamaa duniani kuna mengi hyu ameshindwa hapa hujui wew utashindwa wap
Alafu ndo wanaandika gani sasaKweli?
Hii haiwezekani kabisa, kila cheti kinasimama chenyewe isipokuwa kama alivyo eleza mkuu ommky wakati wa kujaza ndio unaingiza hizo particulars. Kila mtihani unaofanya unaingia kwenye record ya mwaka husika na cheti kile kinajitegemea na sheria pia zaweza kubadilika kati ya mwaka na mwaka hivyo kuunganisha kupata cheti kimoja haiwezekani.Inawezekana kabisa, tena ukimaliza unaweza fika NECTA physcaly na ukawapa vyeti vyako vyote na kupewa cheti kimoja
Aiwezekani toka mwaka 2014 walitoa tangazo hadi Leo lipo kwenye wavuti yao kuwa aifanyi ivyo sababu ni sitting tofautInawezekana kabisa, tena ukimaliza unaweza fika NECTA physcaly na ukawapa vyeti vyako vyote na kupewa cheti kimoja
VIRAZA wakitapatapa JFDaah ni mwendo wa kuzikusanya D tu maana hakuna namna