Mfumo wa kisasa wa usalama wenye jumla ya kamera 306 unaozunguka ukuta wa Mererani wakabidhiwa rasmi kwa Jeshi la wananchi wa Tanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,193
4,661
Kamera hizo za kisasa zimenunuliwa na Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Pombe Magufuli zinauwezo wa kufanya kazi kwenye mazingira yeyote kwa kurekodi matukio wakati wa Mvua, Vumbi, Mchana na Usiku pamoja na kumtambua Mhalifu!
 

Attachments

  • FB_IMG_16056949350915997.jpg
    FB_IMG_16056949350915997.jpg
    24.4 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16056949291465702.jpg
    FB_IMG_16056949291465702.jpg
    6.9 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16056949257763344.jpg
    FB_IMG_16056949257763344.jpg
    26.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16056949204092353.jpg
    FB_IMG_16056949204092353.jpg
    26.6 KB · Views: 3
Kwa hatua iyo inamaana misaada ya kutoka nje tutakuwa tunaikataa sio
 
Back
Top Bottom