Mfumo wa Hazina umepata hitilafu, hamjalipiwa mikopo

Zabron Hamis

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
6,511
10,416
Mfumo wa hazina ume misbehave (despite the GIGOs) baadhi ya wenye mikopo wamekatwa mara moja (1 instalment) ila balance ya mkopo imepungua mara mbili (2 instalments). Kama hazina wataweza ku fix hilo tatizo mapema mshahara wa Feb, 22 unaweza kuwa sawa.

Puuzia taarifa zinazoenezwa kwamba Serikali imesaidia watumishi kupunguza mikopo.

NB: Kuna watu waliimba pambio kwamba mama yao amewalipia.
 
Mkuu umewasilisha habari hii kama vile Jana tulikuwa kijiweni na wewe tunajadiki habari hii!
Tulia wasilisha habari ieleweke!
 
Ukiwa dodoma ogopa sana watu wanajiita UHUMA FINANCIAL SERVICES

Mdau utanishukuru baadae
 
Tatizo limezidi maana Sasa tumebambikiwa madeni yasiyolipika mkuu. Kama hili Jambo serikali haitachukua hatua stahiki madhara yake yatakua makubwa sana hasa kwa watumishi.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hili hutokea baadhi ya miezi ila hazina hurekebisha.hata mwe january pia wamerekebisha angalieni salary slips.
 
Back
Top Bottom