Mfumo wa GePG umeiingizia Serikali Trilioni 2.699 kwa mwaka 2019/2020

Kwan zaman ilikuaje
Zamani kulikuwa na njia kadhaa
1. Cash - Yaani unalipa dirishani, kitu ambacho kilikuwa na rushwa sana.

2. Mifumo mingine kama Max malipo, benki, tigopesa na kadhalika - Hela ilikuwa inaenda kwa wakala kwanza kabla ya kwenda serikalini, sasa hivi hawa wote wameunganishwa na GePG, hela inaenda serikalini moja kwa moja.

Ndiyo maana utagundua sasa hivi hata ukitumia tigopesa kwa malipo ya serikali, hau katwi hela ya kutumia.
 
Nafikiri hilo lilikuwa wazo jema na linalotekelezeka. Sasa turudi kwenye matumizi, checks and balances!
 
ila huu mfumo ni mkali control number hata uwe rwamisheny na mtu kakutumia yupo dar ukitumbukiza tu kulipa mzee haikosei .upo dar inakwambia bukoba water and sanitation authority.yan haikosei
 
Zamani kulikuwa na njia kadhaa
1. Cash - Yaani unalipa dirishani, kitu ambacho kilikuwa na rushwa sana.

2. Mifumo mingine kama Max malipo, benki, tigopesa na kadhalika - Hela ilikuwa inaenda kwa wakala kwanza kabla ya kwenda serikalini, sasa hivi hawa wote wameunganishwa na GePG, hela inaenda serikalini moja kwa moja.

Ndiyo maana utagundua sasa hivi hata ukitumia tigopesa kwa malipo ya serikali, hau katwi hela ya kutumia.
Oho nashukuru mkuu
Elimu Haina mwisho
 
Huu mfumo ni mzuri kwa kweli yaani serikali inakusanya we hebu fikiri ile 500/= tunayolipa kwa Loss Report kwa nchi nzima inapitia humo,zamani zilikuwa zinapigwa tuu hapo ndio ninapomvulia kofia JPM jamaa kichwa
JPM Kwa upande huo apewe heko zake sema tu wanadamu hatuna jema.
 
Zamani kulikuwa na njia kadhaa
1. Cash - Yaani unalipa dirishani, kitu ambacho kilikuwa na rushwa sana...
Inabidi uwanja wa ndege waweke utaratibu huu, maana wafanyakazi wa tra wanajiamulia wanachotaka.
 
Back
Top Bottom