Mfumo wa GePG umeiingizia Serikali Trilioni 2.699 kwa mwaka 2019/2020

Huu mfumo ni mzuri kwa kweli yaani serikali inakusanya we hebu fikiri ile 500/= tunayolipa kwa Loss Report kwa nchi nzima inapitia humo,zamani zilikuwa zinapigwa tuu hapo ndio ninapomvulia kofia JPM jamaa kichwa
We mfumo huu ulianza kufanyiwa kazi enzi za jk Magufuri amekuta kila kitu tayari
 
Kuna tetesi kuwa hata nssf, psssf zetu zinalipwa kwa mfumo huu wa gepg, wanaojua tafadhari kanusheni hili, otherwise mtajisifia makusanyo makubwa kumbe mnajumuisha na hera ambazo sio zenu.
 
We mfumo huu ulianza kufanyiwa kazi enzi za jk Magufuri amekuta kila kitu tayari
Ok basi kuna vitu wameongeza maana ulikuwa haujulikani sana,ila kipindi cha JPM ndio umejulikana sana.
 
Mfumo wa Kukusanya Maduhuli wa Serikali. Mwaka wa fedha 2015/2016 Kabla ya mfumo huo serikali ilikusanya Bilioni 699.

Mwaka wa fedha 2019/2020 Umeeiningizia Serikali shilingi Trilioni 2.699. Ikiwa ni ongezeko la Asilimia 292%

PAKUA APP
GePG Tanzania - Apps on Google Play


/Chanzo Katibu mkuu WFM Dotto James
MatokeoChanyA+
John n mpwa wake ndio wamemwambia aseme hivyo,wastaafu wanasumbuliwa balaa hela hamna john kazichukua
 
Back
Top Bottom