Mfumo wa elimu nchini unaheshimu na kufuatilia malengo unayojiwekea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumo wa elimu nchini unaheshimu na kufuatilia malengo unayojiwekea?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gurta, Mar 26, 2012.

 1. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapa naangaliana na ripoti ya "TANZANIA: ICT IN EDUCATION SITUATIONAL ANALYSIS" iliyotolewa mwaka 2010 na taasisi iitwayo gesci. Kwenye ukurasa wa 11 wa ripoti hii wameainisha baadhi ya malengo ambayo serikali kwa kupitia WEMU na wakala wengine wa elimu walijiwekea katika kuboresha elimu nchini.

  Malengo hayo ni kama yafuatayo:  • Eliminate illiteracy by 2010
  • Attain Universal Primary Education by 2010
  • Raise the minimum qualification for primary school teachers to Grade A by 2003
  • Provide all schools and training institutions with adequate and appropriate instruction materials and standard physical infrastructure by 2010
  • Establish Nationwide network of Teacher Resource Centers
  • Teacher/Pupil ration to be 1:45 (primary), 1:35 (lower secondary), 1:30 (upper secondary) and 1:25 (teacher training colleges) 1:12 (Higher education) by 2010.
  • Raise minimum qualifications for Teachers College tutor to be a university degree with education.
  • Raise achievement in academic performance at all levels of education to 75%.
  • Attain 50% transition rate from primary to secondary education by 2003
  • Ensure all regions have ICBAE programmes by 2005
  • Increase capacity intake in higher learning institutions and technical education by 2010.

  Mwanabodi, ukiwa kama mdau katika elimu ya nchi hii unadhani tumefanikiwa? Je, malengo haya yana uhalisia ndani yake? Je, kuna nia ya dhati ya kuona kwamba malengo haya yanafikiwa?

  Karibu kwa mjadala (natambua nafasi ya siasa katika nyanja hii lakini tuiingize pale tu inapobidi).
   
Loading...