Na hizi decoder sijui wanataka tuwe nazo ngapi maana kuna startimes,zuku,ting,itv,easy etc etc..ukichanganya na dstv lazima home uwe na studio
TCRA na akina Mpoto acheni kupotosha wananchi...hakuna TV ya zamani wala ya kisasa zote zitahitaji king'amuzi
haijalishi ni CRT,PLASMA,LCD or LED
hata logo yenu ina kasoro katika ujumbe wake
ule mkonga wa taifa tumeufutilia mbali baada ya yule waziri mnyalukolo kumnyima RA ile tenda ya kuusambaza Tanganyika.Tanzania ni nchi ya kukurupushwa usiku na mchana.Kuna wakati tuliambiwa mkonga wa Taifa sijui imeishia wapi???
Na hizi decoder sijui wanataka tuwe nazo ngapi maana kuna startimes,zuku,ting,itv,easy etc etc..ukichanganya na dstv lazima home uwe na studio
ule mkonga wa taifa tumeufutilia mbali baada ya yule waziri mnyalukolo kumnyima RA ile tenda ya kuusambaza Tanganyika.