Mfumo wa Digitali

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
TCRA na akina Mpoto acheni kupotosha wananchi...hakuna TV ya zamani wala ya kisasa zote zitahitaji king'amuzi
haijalishi ni CRT,PLASMA,LCD or LED

hata logo yenu ina kasoro katika ujumbe wake
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    5.4 KB · Views: 105
Wajanja kuliko wote ni star times, wanakuunganisha kwenye package ambayo mteja haitaki ukienda eti kuna mtu alibadilisha kwa cm ya mkononi! Wamenikera mpaka nimeachana nao
 
tena star times hakuna lolote,hao mawakala wao weng wezi,nlilipia package ya elf 18,wakaniwekea ya elf 9,nlianzisha mtiti wakanirudishia,tena kama ni mgen na hicho king'amuzi kuwa makin sana
 
Hapa tatizo si TCRA bali kuwa na watawala wafanya biashara ambao mwisho wa siku wana hisa katika makampuni hayo yanayotoa huduma mbovu ambazo kimsingi si huduma bali hujuma.
 
Na hizi decoder sijui wanataka tuwe nazo ngapi maana kuna startimes,zuku,ting,itv,easy etc etc..ukichanganya na dstv lazima home uwe na studio
 
Na hizi decoder sijui wanataka tuwe nazo ngapi maana kuna startimes,zuku,ting,itv,easy etc etc..ukichanganya na dstv lazima home uwe na studio

wamewaambia hata hawa kina startimes lazima waweke chaneli za kibongo zote ili tuone na zitakuwa free hata kama ujalipia package yako..
 
TCRA na akina Mpoto acheni kupotosha wananchi...hakuna TV ya zamani wala ya kisasa zote zitahitaji king'amuzi
haijalishi ni CRT,PLASMA,LCD or LED

hata logo yenu ina kasoro katika ujumbe wake

wapuzi hawa alafu hiyo lpgo mtu alikulaq 10 Mil eti walishindanishwa na huyo akashinda!
 
Tanzania ni nchi ya kukurupushwa usiku na mchana.Kuna wakati tuliambiwa mkonga wa Taifa sijui imeishia wapi???
 
Tanzania ni nchi ya kukurupushwa usiku na mchana.Kuna wakati tuliambiwa mkonga wa Taifa sijui imeishia wapi???
ule mkonga wa taifa tumeufutilia mbali baada ya yule waziri mnyalukolo kumnyima RA ile tenda ya kuusambaza Tanganyika.
 
Na hizi decoder sijui wanataka tuwe nazo ngapi maana kuna startimes,zuku,ting,itv,easy etc etc..ukichanganya na dstv lazima home uwe na studio

Hivi haya madubwana yote yanakaa ndani ya nyumba ya mtu kuna usalama kweli kwenye swala la mionzi?
au ndo twauwawa taratibu?
 
Kwenda digital kunamaanisha kuwa analog channels ambazo unapata kwa kutumia antenna ya ndani huwezi kuziona mpaka uwe na either cable/satelite box, au box lingine ambalo litakupa national tv peke yake bure.

Kwa mfano ITV ni bure, siyo cable channel ni national TV, ili uipate itabidi ukanunue box kama una tv ya kizamani. Ila kama una ya kisasa, unaunganisha waya wa cable na unaona national tv bila chenga, bure.
 
ule mkonga wa taifa tumeufutilia mbali baada ya yule waziri mnyalukolo kumnyima RA ile tenda ya kuusambaza Tanganyika.

Sina uwakika na hili!
nadhani upo na unaendelea vizuri, ila serekali wameinyanganya dili TTCL na kuunda kampuni mpya kwa ajili ya kusimamaia hii kitu.
 
Back
Top Bottom