LellozWho
Member
- Jul 13, 2021
- 89
- 121
Sababu kubwa ya magonjwa Kama UTI, SKIN COMPLICATIONS kutoisha katika maisha yetu ya kila siku
NB: Kudhani chooni ni mahali pachafu/kinyaa na mpaka kufikia point kwenda na ndala au viatu ni ugonjwa wa a kili.
MIMI SINA UJUZI WA UFUNDI
Nimejifunza mfumo wa Choo katika makazi yetu hata hasa nyumbani ni sababu kubwa kuleta haya matatizo.
katika Choo kuna sehem ya
1/ Sink(kwa usafi wa mikono/meno nk).
2/Sehemu ya “commode”(haja kubwa/ndogo)
3/Shower/Kuogea.
KOSA KUBWA.
Mfumo wa ujenzi kwa tanzania tumeshindwa kutofautisha sehem gani haitakiwi kua mbichi Kati ya nilizotaja hapo juu.
HAITAKIWI kurusu sehem ya Commode/haja kubwa(kukaa au kuchuchumaa) na Sink ya mswaki iwe mbichi Au ILOWE wakati wa kuoga.
maji yanaacha hizi sehem Kua mbichi na inaleta Au kuweka urahisi kutengeneza Bacteria
na hapo tunakalia Au kuacha haja ndogo lazima kuna urahisi kupata izo bacterial infection
sink unaacha mswaki
Kwa kifupi ni uchafu wa hali ya juu.
Pia huwezi kuweka Mlango wa mbao na kuacha uloe! Ni akili ya ajabu kwakweli.
na hii haijatoka kwenye vichwa vingi vya “mafundi” na hata wamiliki.
this need to change.
Kwa mtazamo wangu.
Mfano unaofuata ni kuonesha mpangilio sahihi kwa mtazamo wangu.