Mfumo Vodacom Airtime billing unafanyaje kazi?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,885
Nimepitapita playstore na nimeona kuwa ikitaka kununua kitu huu mfumo unatumika. Naomba kwa ambaye kawahi utumia au anajua jinsi unavyofanya kazi anijulishe namna unafanya kazi?
 
Weka vocha sahihi inayotakiwa kwa app unayoitaka then rud kwenye play store Fanya kununua watachukua vocha yako hapo utakuwa umefanikiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom