Elections 2015 Mfumo Utakao Muendesha Lowassa Ni Hatari Kuliko Mfumo Utakaomuendesha Magufuli

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka Chama Chochote Maana Ni Democrasia Ila RAIS BORA ATATOKA CCM," alisema mwl Nyerere, tatizo huwa mnakata kipande tu cha hotuba hiyo,

Sasa mabadiliko ni kuhusu rushwa maendeleo na ujinga,
Mfumo ulio mzunguka magufuli ni hatari ila bahat nzuri uo mfumo umejumuisha maskin wanaosaka hela kwa njia haramu ,kuna sheria inaweza kutumika kuwakemea maana uwezo wa kusimamia sheria na ni rahisi kuwadhibiti;

Kuhusu mfumo ulomzunguka LOWASSA ni marafiki ambao watampa presha kutimiza matakwa yao, na ni vigum mno kuwakemea maana hakuna sehem mfumo uo unatambulika japo kuwa upo, hauna katiba wala sheria mfumo wa urafiki,

mfano karamagi, rostam azizi,mengi, sumaye, ndesambulo, ni mfumo hatari zaid sheria huwez kuitumia ukiwa huru maana hela yao imekuweka ikulu utaanzaje?

Ukizingatia mbowe, lissu, mnyika,sugu hawana ubavu wa kumzuia lowassa, na wengi itabidi wakae kimya mambo yakienda ndivyo sivyo watashindwa hata kukosoa, wananchi wengi wamempenda lowassa si chadema msijidanganye fanya uchunguzi,

Tunashukuru mabadiliko alosema Mwalimu yalifanyika 12,7,2015. maana wangeendelea sanaa zilizomuweka kikwete madarakan yasingekuwa mabadilko,

Tafakari Magufuli ni MTU makini sana
 
Hongera, umejidamka kupost kabla ya wote sasa wahi Lumumba Nape akifika tu upate chako.

Lakini....
umepost utumbo na hujatoa analysis yoyote hata Nape anaweza kukutosa kukupa ujira wako.
 
"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka Chama Chochote Maana Ni Democrasia Ila RAIS BORA ATATOKA CCM," alisema mwl nyerere, tatizo huwa mnakata kipande tu, sasa mabadiliko ni kuhusu rushwa maendeleo na ujinga,
mfumo ulo mzunguka magufuli ni hatari ila bahat nzuri uo mfumo umejumuisha maskin wanaosaka ela kwa njia haramu ,kuna sheria inaweza kutumika kuwakemea maana uwezo wa kusimamia sheria na ni rahisi kuwadhibiti;
kuhusu mfumo ulomzunguka LOWASSA mfano karamagi, rostam azizi,mengi, sumaye, ndesambulo, ni mfumo hatari zaid sheria huwez kuitumia ukiwa huru maana ela yao imekuweka ikulu utaanzaje? mbowe, lissu, mnyika,sugu hawana ubavu wa kumzuia lowassa, weng wamempenda lowassa si chadema msijdanganye fanya uchunguz,
tunashukuru mabadiliko alosema mwalimu yalifanyika 12,7,2015. maana wangeendelea sanaa zilizomuweka kikwete madarakan yasingekuwa mabadilko
 
Hongera, umejidamka kupost kabla ya wote sasa wahi Lumumba Nape akifika tu upate chako.

Lakini....
umepost utumbo na hujatoa analysis yoyote hata Nape anaweza kukutosa kukupa ujira wako.

ungenawa kwanza tongotongo zako labda ungeelewa kilichoandikwa, we endelea kulala tu
 
Rostam, karamagi, Sumaye sijui na nani vile..... Kwani hao ni Mifumo?
au ukiwaunganisha kwa pamoja wanakuwa Mfumo? Acheni kutumika
kama KARATASI YA CHOONI - Mfumo utakaomuendesha Lowasa ni
UKAWA full stop.
 
mtoa post wewe ni kilaza kama vilaza wengne tena unaonekana bado mtoto umeamshwa ujisaidie kwenye pot
 
Mkimteua huku, mimi nahama. Wakimteua kule naenda kumwunga mkono. Mwaka huu wengi wameacha kutafakari mambo kwa undani, wamechochewa hasira kwa manufaa ya wapiga dili. Wengi ni vijana, hata wakionywa na wazee wanaendelea kuziba masikio, wanafikiri "Majuto ni mjukuu" ni kijana mwema! CHUKUA TAHADHARI.
 
Rostam, karamagi, Sumaye sijui na nani vile..... Kwani hao ni Mifumo?
au ukiwaunganisha kwa pamoja wanakuwa Mfumo? Acheni kutumika
kama KARATASI YA CHOONI.

Huelewi Maana Ya Mfumo? Mfumo Unajumuisha Structure Au Mpangilio Unaoendesha Suala Flan, Mbna Unakuwa Mpumbavu Nanukuu Kwa Mkapa Lakin, Mfumo Uko Hz Anayeendesha Kampen Kwa Ela Yake Ni Rostam, Anaye Mtangaza Ni Mengi Anayemuunganisha Nje Ni Karamagi, Anayemuweka Kwenye Kivuli Cha Ukawa Ndesambulo, Uo Ni Mfumo Tiyari, Usiwe Nyumbu
 
Watanzania kama wamerekani weusi enzi ya utumwa tunasema hivi "anywhere is better than here"
field negro: It's the 21st Century, but the house Negro is still here.
Tatizo ni kuwa hata huko unakokuita anywhere umepangiwa na hao unaotaka kuwatoa. Mikakati yao kubakia kwenye usukani iliwahi kuvuja na kuwekwa humu jukwaani, huu wa chadema kuwa na mgombea kama lowasa ulikuwa moja ya mikakati. Uchaguzi ukimalizika kila kitu kitawekwa hadharani, lakini tukubali kwa sasa tumepigwa bao na adui yetu mkuu.
 
mtoa post wewe ni kilaza kama vilaza wengne tena unaonekana bado mtoto umeamshwa ujisaidie kwenye pot

Ukirejea Post Yangu Na Comment Yako Vikipelekwa Sehem Vijadiliwe Nan Kilaza? Nakuweka Kwenye Wapumbavu Alosema Mkapa
 
Tulia Lowasa anaingia madarakani na muda wa miezi michache tu ,madai ya KATIBA mpya yanazuka ili kuliweka Taifa la Tanzania katika mfumo unaokubalika ,huku kutaondoa hofu ya hayo unayoyasemea na kuweka misingi iliyo bora ambayo wananchi kutoka makundi mbalimbali waliyasemea na kuandikwa na yule Warioba na wenzake.

Hatari kubwa sana ni kufanikiwa kwa CCM kupenya kimizengwe ili kuutwaa Uraisi hapo watatuletea kale lkajikatiba chao ambacho ni kwa ajili ya kuwalinda hao uliowasema .CCM imeshakuwa sio chama cha siasa bali ni chama cha mabepari au hilo hulijui. Kwanza tunahitaji CCM iondoke madarakani ,hilo litawafariji sana waTanzania.
 
Huelewi Maana Ya Mfumo? Mfumo Unajumuisha Structure Au Mpangilio Unaoendesha Suala Flan, Mbna Unakuwa Mpumbavu Nanukuu Kwa Mkapa Lakin, Mfumo Uko Hz Anayeendesha Kampen Kwa Ela Yake Ni Rostam, Anaye Mtangaza Ni Mengi Anayemuunganisha Nje Ni Karamagi, Anayemuweka Kwenye Kivuli Cha Ukawa Ndesambulo, Uo Ni Mfumo Tiyari, Usiwe Nyumbu
Huu sio mfumo kwa sababu unayoongea hayana ukweli, unaropoka tu kama yule Dr.
aliyesaliti Familia, chama na hatimaye kununuliwa na CCM una ushahidi gani kuwa Rostam
katoa fedha za kampeni, Vyombo vya habari vya mengi vinatangaza habari zote bila
upendeleo tofauti na TBC ambao wako KiCCM zaidi bila kujali kuwa inaendeshwa kwa
kodi za wananchi.
 
utakua hatari zaidi ya huu wa baba kuwa Raisi, baba mdogo wazir, shemeji waziri, mtoto mbunge?
 
"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka Chama Chochote Maana Ni Democrasia Ila RAIS BORA ATATOKA CCM," alisema mwl nyerere, tatizo huwa mnakata kipande tu, sasa mabadiliko ni kuhusu rushwa maendeleo na ujinga,
mfumo ulo mzunguka magufuli ni hatari ila bahat nzuri uo mfumo umejumuisha maskin wanaosaka ela kwa njia haramu ,kuna sheria inaweza kutumika kuwakemea maana uwezo wa kusimamia sheria na ni rahisi kuwadhibiti;
kuhusu mfumo ulomzunguka LOWASSA mfano karamagi, rostam azizi,mengi, sumaye, ndesambulo, ni mfumo hatari zaid sheria huwez kuitumia ukiwa huru maana ela yao imekuweka ikulu utaanzaje? mbowe, lissu, mnyika,sugu hawana ubavu wa kumzuia lowassa, weng wamempenda lowassa si chadema msijdanganye fanya uchunguz,
tunashukuru mabadiliko alosema mwalimu yalifanyika 12,7,2015. maana wangeendelea sanaa zilizomuweka kikwete madarakan yasingekuwa mabadiliko.

Mkuu, usiwe na uoga wa watanzania wenzetu kuja kuisumbua nchi.
Office ya Rais ni taasisi yenye ukamilivu.

Akiwepo Rais mpya wa UKAWA Ikulu, nje ya CCM litakuwa jambo nzr na lenye hekima kw ustawi wa Taifa letu.
CCM watakuwa 24/7 kuangalia utendaji wa Rais mpya na the same way new elected President atafanya kazi yake kw uweledi mkubwa ili kuweza kupata UKAWA kuchaguliwa tena ktk uchaguzi utaofuata.
Mwisho wa uchaguzi ndy mwanzo wa maandalizi ya uchaguzi unaofuata.

Uchaguzi wa vyama vingi hapa nchini ktk nafasi ya Rais hutegemea na bahati binafsi ya mgombea.
1995 Hon BM alibahatika kupendwa na Mwalimu, alikuwa kipenz chake. Watanzania walimpenda Mwalimu na bado wanampenda, history inajua hilo.
2005 hon JK binafsi alikuwa na bahati ya kupendwa na wananchi.
2015 hon EL binafs nae anapendwa sana na wananchi. Ktk hili ya kukubalika na wananchi halikwepeki.
Chama husika hupata advantage ktk campaigns zake.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom