britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka Chama Chochote Maana Ni Democrasia Ila RAIS BORA ATATOKA CCM," alisema mwl Nyerere, tatizo huwa mnakata kipande tu cha hotuba hiyo,
Sasa mabadiliko ni kuhusu rushwa maendeleo na ujinga,
Mfumo ulio mzunguka magufuli ni hatari ila bahat nzuri uo mfumo umejumuisha maskin wanaosaka hela kwa njia haramu ,kuna sheria inaweza kutumika kuwakemea maana uwezo wa kusimamia sheria na ni rahisi kuwadhibiti;
Kuhusu mfumo ulomzunguka LOWASSA ni marafiki ambao watampa presha kutimiza matakwa yao, na ni vigum mno kuwakemea maana hakuna sehem mfumo uo unatambulika japo kuwa upo, hauna katiba wala sheria mfumo wa urafiki,
mfano karamagi, rostam azizi,mengi, sumaye, ndesambulo, ni mfumo hatari zaid sheria huwez kuitumia ukiwa huru maana hela yao imekuweka ikulu utaanzaje?
Ukizingatia mbowe, lissu, mnyika,sugu hawana ubavu wa kumzuia lowassa, na wengi itabidi wakae kimya mambo yakienda ndivyo sivyo watashindwa hata kukosoa, wananchi wengi wamempenda lowassa si chadema msijidanganye fanya uchunguzi,
Tunashukuru mabadiliko alosema Mwalimu yalifanyika 12,7,2015. maana wangeendelea sanaa zilizomuweka kikwete madarakan yasingekuwa mabadilko,
Tafakari Magufuli ni MTU makini sana