Mfumo upi was elimu unatengeneza wabunifu?au ni lazima tuwe name watu au walimu wenye vipaji?

nandembako

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
655
525
Nimekuwa najiuliza mbona kizazi chetu sio wabunifu,
Chanzo ni nn nimekuwa nikijiuliza....umaskini wa pesa au umaskini wa akili?.....mbona mazingira yetu yanashahabiana sana na ubunifu kuliko zama zile ambazo wazazi au mababu zetu walikuwa wakiishi?....lakini cha ajabu wao waliweza kubuni na kuishi maisha yao wenyewe bila kuiga kutoka sehemu nyingine.....hebu changia unachojua ndugu yangu!
 
tanzania hatujuwai kuwa na mfumo...wa elimu ila tuna tanzania mfumo unaoitwa words creaming system au mfumo wa kukalili maneno.....ndo maana 1.wasomi wetu wamekalili wakimaliza kusoma chuo wanawaza kuajiriwa
2.wasomi wetu wamekalili kuiba,kula rushwa,kununua magali mazuli, kujenga nyumba za kifahali wakishapata kazi....
3.wasomi wetu ndio hawa hawa wameshafanya nchi yetu pabaya
 
Back
Top Bottom