wataalam wa maswala ya sayansi ya siasa naomba mniweke sawa katika ili, mfumo uliotumika kumuondoa mugabe madarakani kitaalam unaitwaje, mapinduzi ya kijeshi au ni kitu gani.
COUP D'ETAT.wataalam wa maswala ya sayansi ya siasa naomba mniweke sawa katika ili, mfumo uliotumika kumuondoa mugabe madarakani kitaalam unaitwaje, mapinduzi ya kijeshi au ni kitu gani.
Mapinduzi Kiini MachoYaani hadi leo sijui ni aina gani ya mapinduzi haya
Una maana coup d'etat? Hapana ni coup de grace! Wengine wangeita Palace Coup.wataalam wa maswala ya sayansi ya siasa naomba mniweke sawa katika ili, mfumo uliotumika kumuondoa mugabe madarakani kitaalam unaitwaje, mapinduzi ya kijeshi au ni kitu gani.