Mfumo uliotumika kumuondoa Mugabe madarakani ni sawa kuuita ‘coup detact’?

kalipeni

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,528
1,241
wataalam wa maswala ya sayansi ya siasa naomba mniweke sawa katika ili, mfumo uliotumika kumuondoa mugabe madarakani kitaalam unaitwaje, mapinduzi ya kijeshi au ni kitu gani.
 
wataalam wa maswala ya sayansi ya siasa naomba mniweke sawa katika ili, mfumo uliotumika kumuondoa mugabe madarakani kitaalam unaitwaje, mapinduzi ya kijeshi au ni kitu gani.

Mfumo huo haukuwa wa haki kama vile yeye mwenyewe Mugabe amekuwa akifanya mambo kinyume na haki, wembe ule ule aliokuwa akinyolea wenzake naye umemnyoa.
 
Actually hii ni muungano wa military efforts na political power sababu jeshi halikushika mamlaka bali transition ilifanyika kwa diplomatic approach na reconciliation terms kwamba mugabe hatashitakiwa na usalama wake na family upo guaranteed,

Procedures zilizokua zikiendelea kabla mugabe hajatoa official voluntary resignation ni za kikatiba kabisa hata katiba yetu inaruhusu waziri mkuu na speaker wa bunge wakiona mashaka na nafasi ya Rais wanaweza kuitisha kura bungeni ya kutokua na imani naye judiciary ikihusishwa na kura kutimia Rais anatoka.

A complete coup d'état ni jeshi mwanzo mwisho mkuu wa jeshi ndio anakua kiongozi wa nchi no constitutional procedures sababu hata njia yenyewe sio ya kikatiba.
 
wataalam wa maswala ya sayansi ya siasa naomba mniweke sawa katika ili, mfumo uliotumika kumuondoa mugabe madarakani kitaalam unaitwaje, mapinduzi ya kijeshi au ni kitu gani.
Una maana coup d'etat? Hapana ni coup de grace! Wengine wangeita Palace Coup.
 
huyu bila Shaka ni bavicha maana hata alichokiandika hakifahamu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom