mfumo mpya wa kujaza fomu HESLB kwa new applicant na wanaoendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mfumo mpya wa kujaza fomu HESLB kwa new applicant na wanaoendelea

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by China Vach, Mar 13, 2011.

 1. C

  China Vach Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilaw!bodi ya elimu ya juu imeanzisha utaratibu wa kujisajili online wale wanaomba mkopo kwa mara ya kwanza na wale wanaoendelea kutumia website ya olas.heslb.go.tz, pia kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na gazeti la mwananchi la tarehe 12 katika page 13, lakini kinachonishangaza katika masharti ya kutumia hakina term inayozungumzia juu ya issue of privacy, wakati faragha ni suala la kikatibu(Article 16 ya katiba ya Tanzania
   
 2. nukta

  nukta Senior Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  bado hawajatatua kero na gharama za maombi, nahisi huu mfumo utaongeza grarama na usumbufu. kujaza form online baadae uprint na kuzipeleke serekali za mitaa na mahakamani baadae ulipie 30,000/= kupitia mitandao ya simu then uzitume bodi kupitia ems. Sioni kama ni kumrahisishia mwanafunzi?!!!. Kwa nn wasingewaiga tcu unanunua vocha ya malipo bank then unatuma maombi yako online au kwa sms mambo kwisha.
   
 3. F

  Fabian John New Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli Tanzania ya leo tunajaribu kwenda na ulimwengu wa utandawazi, kwa maana hiyo huu mfumo wangetakiwa waufanyie marekebisho kidogo kwenye swala la malipo wajitahidi basi kama tcu walivyotumia mfumo wa vocha.

  Naomba watusaidie kutueleza kwa mapana zaidi kuhusu hicho King'amuzi uwezo kinavyo asses hizo form za mikopo kwa wananchi.
   
 4. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeweza kujiandikisha kutafuta mkopo hapa lakini sioni tofauti ya hii system na ile ya zamani. Hapa nachoona tu ni kuwa, unakusanya information zako sehemu moja kwa kujaza vipengele vilivyowekwa na baadae una-print hiyo document na kuanza shughuli ya kuizungusha huku na kule. Hiyo 10,000 au 30,000 sijafahamu ni cost ya nini, je ni ya kutumia haka ka website au ni cost ya wao wizara kuishughulikia application yangu in full.


  btw: Uwe makini kwani ukisha-submit kipengele, hauna njia ya kufanya marekebisho tena.

  Nimeiangalia PDF file ambayo unatakiwa ku-print, naona hapa ndio kikomo cha hii web application kwani sasa, kazi kuwatafuta wakuu wa serikali za mitaa.... JAMANI, bado tuko kwenye mfumo huu wa UJAMAA? Professional signatories wanatosha, vijijini niende kufanya nini...
   
 5. t

  thesonofafrica Senior Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  MSAADA KUHUSU UJAZAJI FORM ZA MIKOPO ON-LINE PLS:
  Today on 1st.04.2000 I sucessfully registred myself on OLAS.I am an overseas,countinuing,undergraduate.
  Upon loging in,two links appeared on my left ,one link has the name APPLICATION FORM for continuing students.The Second link was APPEAL FORM.

  1.Before these links,I expeceted first to see A SUB FORM FOR PRELIMINARY INFO Based upon which the subforms would be provided.I never saw this SUBFORM FOR PRELIMINARY INFO as stated in the Guidlines provided by the HESL.Why?any mistake?
  2.now,I Chose the link for CONTINUING STUDENTS APPLICATION FORM.Upon choosing this link,only TWO SUBFORMS Were displayed and those are PERMANENT ADRESS and ADMISSION DETAILS.Is this correct?

  3.The major problem which suprised me is this:I filled the two subforms one after another.However,after filling ,upon clicking the SUBMIT button,each subform could not be submitted and be moved to the right hand side of the application menu as stated in your guidlines.Please note that,I filled all the mandatory feald as requred.Now what is the problem?is something to do with the system itself.

  I have done my part to familiarize mysefl with the GUIDLINES as the board advised.Thats why ,it becomes a suprise for me when the results are different form what I expected after studying the guideline.
  Thanks in advance.
   
 6. King Shaat

  King Shaat JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2014
  Joined: Aug 30, 2013
  Messages: 732
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 180
  Mimi nilipokea mkopo mwaka wa kwanza (2012/2013) na ku-update vizuri tu ila wakaja sema kuwa siku-update hivyo hawakunipatia mkopo kwa mwaka huu wa pili. Sasa najaribu ku-update kipindi hiki kama registered member naambiwa kuwa hawana kabisa data zangu. Embu ndugu zangu nisaidieni kimawazo nifanyaje sasa.
   
 7. S

  Saigilu New Member

  #7
  May 4, 2015
  Joined: May 4, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wale wanaoendelea wapi sehemu ya kuapply naomba nisaidieni au ni sawa na hawo wanaoanza?
   
Loading...