Mfumo dume

Dimple Jerry

Senior Member
Dec 18, 2012
118
11
Ndugu zangu wana MMU, kitu kimoja kinanichanganya ni kuhusu mfumo dume wa wanaume. Huu unakuwaje maana inaniwia vigumu kuuelewa naomba kwa aliye na ufahamu anieleweshe
 
Hapo nzuri anaejua akueleze kwa mifano huenda tayari ulisha uona. Hebu wewe eleza unajua nini au umesikia nini kuhusu huu mfumo dume ili iwe rahisi kujua tunaanzia wapi kukuelewesha.
 
navojua mfumo dume ni hali ya mwanaume kuwa last say means atakachosema yeye ndo amesema hata kama anakosea, na wewe ni LAZIMA ufuate kama anavyosema!
 
Hapo nzuri anaejua akueleze kwa mifano huenda tayari ulisha uona. Hebu wewe eleza unajua nini au umesikia nini kuhusu huu mfumo dume ili iwe rahisi kujua tunaanzia wapi kukuelewesha.

Ni katika harakati za maisha nikawa nmekaa na bro mmoja katika kuzungumza ndo akasema kuhusu hilo suala.Alichosema yeye ni kwamba alipooa kuna vitu alikuwa anafanya kwa mke wake ila baadae akagundua kuwa ni mfumo dume.Hiyo ilikuwa pamoja na kuwa yeye ndo msemaji wa mwisho
 
Basi mfumo dume ni kua mwanaume anakua juu ya kila kitu nyumbani ie mwanamke hata akiwa na wazo zuri litapingwa tu kisa kazungumza mwanamke.
 
Back
Top Bottom